Recent content by kilamuruzi

  1. kilamuruzi

    Kupigwa bomba haja kubwa kunasaidia nini?

    Kabila la wabembe wa Kongo wanaume utaumia Bomba Kwa ajili ya kuimarisha mfumo wa uzazi wa kiume. Na Kuna dawa utumia pia wanasema uondoa tatizo mgongo ama kiuno kuuma na wasifika kwenye tendo.
  2. kilamuruzi

    Kwa maafa ya Hanang' serikali iwe inasikiliza wazee

    Nashangaa wasomi uchwala wafia dini. Hivi kuna dini ambayo haimini mizimu, nini maana holly Gost ama roho mtakatifu.? Na je hao mitume mnaoaminishwa wapo hai ama walikufa
  3. kilamuruzi

    Ushauri: NEMC fanyeni haya ili kupunguza kelele za muziki mtaani

    Kwa upande wa misikiti ni swalah tu ya asubuhi mchana na njion kwa muda wote wanaotumia haizidi hata dakika 15 kwa siku nzima. Wakatholiku ni kengere ya asubuhi mchana na jion . Lakini Kuna wale walokole ukweli wanakera Siku hizi baadhi ya makanisa kama vilabu vya pombe za kyenyeji
  4. kilamuruzi

    Tatizo la mjamzito kupumua kwa shida

    Wife wangu ana hilo tatizo mwaka jana tumemkosa mtoto hivi hivi wandai pressure ilikuwa juu wakamwandikia sindano na vidonge kwa ajili ya kushusha pressure mwisho wa siku mtoto akawa achezi tena tumboni kwenda parestina hospital tukaambiwa mtoto alishafariki siku tatu zilizopita.
  5. kilamuruzi

    Napata maumivu juu bega la kushoto katika maungio

    Nimewahi pata hilo tatizo na kiuno kilikuwa kimekaza kiasi kwamba hata kufunga Kama za viatu nikuwa siwezi. Nilitumia tiba tu ya kimasikini. Nilianza kutandika blanket chini ya sakafu na kulala week ya Kwanza niliumia sana mbavu na maumvi yaliendelea kila siku nilihakikisha napiga push up 10...
  6. kilamuruzi

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Naona America ameanza kuchokonolewa watu wameanza kuona mweupe. Juzi walipiga baloon wakidai ya kichina na leo wametungua kitu hawajuhi ni nini wanasema tu kina umbo kama gari ndogo na kilikuwa umbali feet 40000.
  7. kilamuruzi

    Alipomaliza kunyoosha mabarabara mafisadi na mercenaries na vyama uchwara Mwenyezi Mungu alimuita Mbinguni

    Kama Ni hivyo hata Yesu ni Ibilisi maana alikatishwa akiwa bado anaendelea na kazi. Ila kama Yesu yupo mbinguni basi atakuwa na msaidizi wake Magufuli.
  8. kilamuruzi

    Baada ya kutembea mikoa kadhaa Tanzania, nimegundua wanawake wa Kihangaza ni wife material

    Mkuu mara nyingi nakuona pale Sodoma Magerwa nilikuwa nakukuta kwa Kazungu
Back
Top Bottom