Recent content by kilamba lamba

  1. kilamba lamba

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mnajidanganya Tu humu ndani. Ila psg Hana uwezo wa kuzifunga Real madrid, atletico madrid au arsenal. Liver ni mbovu Tu. Siyo kwamba PSG ni wazuri sana
  2. kilamba lamba

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mmeuona umuhimu wa Kai...?
  3. kilamba lamba

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Man city walaini ila siyo Etihad. Mkuu
  4. kilamba lamba

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Na ndo linapopatikana wazo la Zubimendi kucheza role ya Partey. Merino Ni m badala wa Rice . LCM
  5. kilamba lamba

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Inavyosemekana. Rice ana offer vitu vingi Akicheza namba 8 kuliko akicheza 6
  6. kilamba lamba

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Daaahh bora Kai kuliko jesus mkuu
  7. kilamba lamba

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mtu anatakiwa aongee mpira. Mtu anapokosea akosolewe. Anapofanya vizuri asifiwe.
  8. kilamba lamba

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kumbe unaongea ki hisia na ushabiki. Me nikajua unaongelea boli halisia ambalo kila mtu analiona. Kama Jesus shemeji yako. Unaanzaje kumkanyagia. NB: sometimes Ongea boli weka ushabiki na hisia pembeni
  9. kilamba lamba

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kwa sasa Kai Ni mzuri kuliko huyo jesus wenu
  10. kilamba lamba

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mbona hamumpongezi onana.. Kwa sababu Onana ndo ka save clear chance kuliko Kipa w Palace
  11. kilamba lamba

    Msaada tafadhali kuhusu akaunti Yangu ya Instagram

    Kwa hiyo hapo hamna tatizo lolote. Na mwanzo mbona haikuwa hivyo mkuu
  12. kilamba lamba

    Msaada tafadhali kuhusu akaunti Yangu ya Instagram

    Imepita muda mrefu sijafollow mtu yoyote kwenye hiiAccount
  13. kilamba lamba

    Msaada tafadhali kuhusu akaunti Yangu ya Instagram

    Habarini wana jamvi. Naamini mko vizuri na mungu anasaidia sana. Akaunti Yangu Ina shida . Inashindikana kum follow mtu. Kuna maneno inaleta “Some accounts prefer manually review followers even when they are public” Tafadhali mwenye kujua jinsi ya kusolve hili tatizo.
  14. kilamba lamba

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Umuhimu wa Kai umeshindw kuonekana leo kutokana na kubadilishiwa role yake uwanjani. Kai Ni bora kuliko jesus wakicheza kam Top forward pale mbele
  15. kilamba lamba

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kungekuwa na Bissouma na Sarr pale kati. Tungepoteana sana. Lakini Kwa hii mid Yao ya kawaida. Kina Jorginho wanaiweza
Back
Top Bottom