Recent content by kilalile

  1. kilalile

    Sio jambo zuri kumpiga Mwanamke ila muda mwingine Wanawake wanakera mno

    Uliwahi kujiuliza maumivu aliyokuwa anayapata babako alipojibiwa shit na mamako?
  2. kilalile

    Kuna uhusiano gani kati ya mafundi wa nguzo wa Tanesco na matusi?

    Haya hilo gogo liende, liende. Kmmke liende, liende. Mwanaume nyanyua, nyanyua. Acha usng nyanyua, nyanyua. Kmmko jikaze, jikaze. Hukusoma jikaze, jikaze. Hahahahaaaaaa gogo lishasimamaa
  3. kilalile

    Watanzania tuamue Sasa: Hali ilivyo kwa sasa itakuwa mbaya zaidi kama hatutachukua hatua na kufanya jambo ambalo litafanya wote tuwe na haki sawa

    Miaka ile tulikula bata huku tukitamani maendeleo, sasa hivi maendeleo yanapatikana huku tunatamani bata. Kibongo bongo ni familia chache sana zenye uwezo wa kujenga nyumba huku bata likiendelea, wengi tunapitia kile kipindi cha tukaze mkanda tukiwa tunafanya jambo kubwa la maendeleo. SGR...
  4. kilalile

    Hawa ndiyo wachungaji matajiri zaidi Tanzania

    Maandiko yanasema kila mtu ale jasho lake. Akihubiri ni yeye anatokwa jasho, akila sadaka mnaanza kusema.
  5. kilalile

    Ukitaka kugonga wanawake na wakulipe chukua ujanja hapa.

    Kijana badala ya kuwaza kutengeneza mashine ya kuangulia nazi, unawaza upupu.
  6. kilalile

    Myenye Private car safari ya Dar to Mbeya Ijumaa hii tuwasiliane.

    Ishu za kuja kukabana njiani na kuchunana ngozi nani anaetaka. Mwisho wa mwaka huu
  7. kilalile

    Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer

    Mie fundi ujenzi, mbona kila kukicha sikosi kazi, watu wanajenga kupita maelezo, hawa wanaojenga hela wanatoa wapi! 2020 wembe ni uleule
  8. kilalile

    Naombeni ushauri nimepata mrembo anadai nimpe milioni 6 kabla ya kumfanya chochote!

    Milioni 6 ni wastani wa ng'ombe 10 tu. Sisi tukioa tunatoa ng'ombe kuanzia 50 mpaka 600. Wewe hela ya ng'ombe 10 tu tena awe mchepuko unakuja kulialia jf. Hebu pita hivi
  9. kilalile

    Ukweli mchungu: Magufuli atashinda tena 2020

    Mara paaap, wapinzani wasusia uchaguzi mkuu. Kuanzia udiwani, ubunge mpaka urais
  10. kilalile

    Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

    Mambo ya TMK Halisi na TMK Mamluki kujitokeza.
  11. kilalile

    Nimemtongoza demu wiki moja tu kaenda kuwatangazia ndugu zake kapata mchumba

    Hiyo ndio maana halisi ya BREAKING NEWS sasa mkuu, sio hizi za daladala zimegoma.
  12. kilalile

    Mwanafunzi wa IFM adhalilishwa na Walinzi wa Ikulu kisa kupiga picha maeneo ya ikulu

    Kupewa adhabu isiyostahili ni kosa ambalo halihalalishi kosa lako ulilofanya.
  13. kilalile

    Yupo wapi siku hizi huyu mwanamuziki--jackie??

    Kuna baadhi ya wasanii wakike wakitambo kile sanaa iliwasaidia kujulikana sana na kufanikiwa kupata waume wakutulia nao, huenda ikawa nae alibahatika...starathomas, rahaP, besta, n.k
Back
Top Bottom