Myenye Private car safari ya Dar to Mbeya Ijumaa hii tuwasiliane.

FAJES

JF-Expert Member
Oct 29, 2017
715
627
Wakuu,

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoonesha. Ntasafiri kutoka Dar kwenda Mbeya siku ya ijumaa tarehe 7 Dec

Ila hata akipatikana wa Njombe au Makambako bado si mbaya. Kama yupo naomba tuwasiliane PM au kupitia namba niliyoandika hapa mwisho.

Abiria tupo wawili na tutalipia gharama za Usafiri. Natanguliza shukrani.

Contact:

FAJES.
 
kama upo dar tafuta I.T za zambia zipo fasta...mi natafuta anayetoka mbeya ijumaa au jumamosi kuja dar tuchangie mafuta
Mkuu, hivi egesho zuri la I.T ni wapi? Ili kwamba nikiegesha nitazipata kwa urahisi.
 
Mzee wa private Car
Ha ha ha haaaa. Hii kweli ilikuwa mie Mkuu. Ila kwa sasa ni rafiki yangu. Kwakuwa yeye haifahamu/hatumii JF nikaona ngoja nimsaidie. Mie JF naiheshimu sana. Imenipa connection kubwa ambazo nitakuwa natoa shukrani mpaka siku ya mwisho wa pumzi. Kwa ufupi JF imeweka alama za kudumu kwenye maisha yangu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom