Recent content by kikwesha

  1. K

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kumshitaki mzazi mwenzangu?

    Mpe mtoto achana na mambo ya kulialia
  2. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwele Malecela aula Umoja wa Mataifa. Kuongoza vituo vya magonjwa Afrika

    Hongera sana mama Mwele
  3. K

    JamiiForums Tanzania Bob Mtekama: FBI wa Malawi aliyekamata raia wetu huko Malawi

    Malawi mchumba tuuu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mossad/ Kidon hawa Ni Wauaji Wabobezi Duniani. Ni Robots waliofundishwa Kuua kwa kila aiya ya kifo

    Huyu anayeongelewa Mier Dagan ukitaka kujua shughuli yake nenda Google au u tube utakuta. ..ni kiongozi hatari sana wa mossad ila alifariki mwaka 2013 kama sijakosea ila jamaa alikuwa amebobea
  5. K

    JamiiForums Tanzania Famila ya Marehemu Fidel Castro

    Castro alikuwa hatari sana..... wamarekani wakawa wanaona immigrants kutoka Cuba wanapapatika kumbe jamaa anawapanga tu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wana JF, hivi huyu Mzee Datsun Tido Mhando anjitambua?

    Mdau SEGUSO ebu soma vizuri uzi wako kuna vitu hujaweka sawa kama kumbukumbu za huyo Tido huo mwaka alikuwa bado kabsa BBC kwa ujumla umeandika kwa hisia na makosa mpk uzi haueleweki
  7. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni CV ya Miss Tanzania 2016

    Wewe kweli hajielewi....hujui haya ni mashindano yenye kubeba au kuwakilisha nchi yetu?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Askari wa usalama barabarani akiwa amejificha kwenye kichaka na tochi yake ya kupima mwendokasi

    Huyo dawa yake unamtupia nyoka......hapa hatulalamiki tu tunaangalia pia usalama wake yeye huko vichakani
  9. K

    JamiiForums Tanzania Taratiiibu nimeanza kumuelewa Mama yetu kwanini hakuchangamkia kampeni!!!

    Acheni jamaa afanye kazi wazee...tuache porojo na siasa za kushikishana ukuta
  10. K

    JamiiForums Tanzania Visichana vya siku hizi, vimeharibika kweli kweli

    Beauty Eva kwa kwel hujawatendea haki wasomi wenzako na huo usomi wako......hayo maswali ulihisi umesaidia kweli?????
  11. K

    JamiiForums Tanzania Makamanda wamdindia Lowassa. Wasema kama amechoka CHADEMA arudi alikotoka

    Kiongozi wa CDM alikuwa Dr tu hao walobaki wapigaji tu kama wengine....nashangaa hawatumbuliwi
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbunge machachari kutikisa siasa za Tanzania na kumwaga manyanga kabla ya Julai 24

    Ana haki kama Mtanzania mwimgine
Back
Top Bottom