Recent content by kikuna

  1. K

    JamiiForums Tanzania Shida ya mwenzako si sababu ya kumdhalilisha

    Tuma number tuku balancie mwenetu upate pesa ya kula 😄
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kafulila na PPP yake walete viwanda binafasi vya kuuza maji kutoa huduma ya maji majumbani kwa PPP.

    Rudia kusoma ulichoandika...utagundua huna point hata moja...
  3. K

    JamiiForums Tanzania TONE LA MAJI LA KWANZA KILWA LAFUNGULIWA,WAZEE WAOMBA DUA KWA RAIS SAMIA

    Nan kama Mama samia...m5tena kwa mama
  4. K

    JamiiForums Tanzania Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Hv mfano akichaguliwa mkiristo na hakujui wala humjui..unafaidika na nn??
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini Ili nisimpoteze

    Tafuta vitu vya kufanya achana na hyo bint
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mimi niko gerezani, nasikia Dkt. Emmanuel Nchimbi haonekani, yuko wapi?

    Chadema hawana jipya
  7. K

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mke wa MC Pilipili, aibua gumzo Mtandaoni baada ya kuonekana na Ujauzito

    Mc asingeiweza hii ngoma...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Haya mahisa na maUTT yenu Kuna vilio vinakuja, watu hawataamini

    Huna point ni porojo..
  9. K

    JamiiForums Tanzania KERO Mbagala na Chamazi kumekuwa na umeme wa mgao usio na kipimo siku ya tatu sasa

    kama huwezi kuishi hama nchi...sisi tumezoea tangia tunazaliwa mpka leo tuna watoto...umeme hukatika..na kufurahia ukirudi....uooooooh
  10. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwinyi aondoa kodi ya sukari Zanzibar

    Vimba na upasuke....kwa chuki zako[emoji41]
  11. K

    JamiiForums Tanzania Waziri, kilomita 7 ziendelee kutesa watu jimbo la Ukonga?

    Vile vile wakazi wa kitonga kupitia mbagala kuna shida kipande cha msongola mpka mbande...yaan barabara mbovu ajabu...safari ya dk 10 mnachukua saa 1.mbunge wa ukonga tukalitazame na hili....
  12. K

    JamiiForums Tanzania Video: Penzi la Poshy lamuingiza Harmonize Kanisani

    Jamaa ni mshamba sana hyu...anauza iman yake tukufu kwa utelezi unaonuka wa malaya mmoja wa mjini.....
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha kuvunja sanamu la Mungu ni jaribio la kuua Mungu wetu.

    Jamaa kamvunja mungu...lakin mungu kashindwa kujitetea....[emoji16]
  14. K

    JamiiForums Tanzania Chanika panahitaji watu mashuhuri uswahili upungue

    Bora kuishi chanika kwenye nyumba yako kuliko kupanga masaki....kwenye nyumba za wanaume wenzako na kukatamba kwamba pazuri
  15. K

    JamiiForums Tanzania Arusha: Hakimu Benson Ngowi(32) anashikiliwa na Polisi kwa kosa la kumlawiti kijana mwenye umri wa miaka 29

    Hili swala lingefanywa na abdallah na atokee bwani...basi humu ndani kusingetosha......
Back
Top Bottom