Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,937
- 106,349
How muchIt is not free,you should pay
How muchIt is not free,you should pay
Is it free or do we have to pay for it?
How will you be teaching?
online??? duh
Unapatikaje, hilo tangazo lako ungeliweka kwa kiswahili, hapo wanaohitaji bado hawajui umeandika nini
online??? duh
Is it free or do we have to pay for it?
Mleta Uzi kuwa serious bas uhitaji ni mkubwa
Maulidi Kitenge, pamoja na kuwa nimesafiri nchi nyingi za Ulaya, lakini bado kiingereza kinanisumbua, je, unahakika utanisaidia kweli?
Mwalimu haelewi wanafunzi hawaelewi! Ni mtafutano!😁
Hilo nalo neno. Unatafuta wanafunzi wa kuwafundisha Kiingereza ambacho hawakijui! Tangazo lako unalileta kwa kugha ile ile ambayo hao wanafunzi hawaifahamu!
Haya maneno yako machache hapa hayaoneshi kuwa ni mwalimu mzuri wa hilo somo.
Mwalimu haelewi wanafunzi hawaelewi! Ni mtafutano!😁
Kubabake , Bongo nyoso !
Ukisikia vyuma vimelombana ndio huku
Kubabake , Bongo nyoso !
Ukisikia vyuma vimelombana ndio huku