Pasco Kama unaijua na kukuuma Zanzibar njoo na history ya Zenj Empire, Mwarabu hakuvamia na kuiba visiwa mnavoviita vyenu vya unguja na Pemba. Pia kumbukumbu zinaonyesha bila ya Mwarabu usingekua Mkristo leo, rudi tena shule update your history nani kamdhalisha mnyika na hao babu zako.
Kurejea uchaguzi ni sawa tu nakuhalalisha haramu iliyotukuka, uchaguzi tulishafanya zamani tangu trh 25 na ulimaliza tarehe hiyo cc wapemba hatuingii uwanjani tena na haswa ukizingatia ccm hawajawahi kupata hata kiti kimoja hata kile kisichokua na mamlaka makubwa kwa huku cha udiwani since 1995...
Ahsante yeriko, kwa taarifa yako ss wazanzibar hususan wapemba tunajua yote hayo, mtoto akifika umri wa miaka25 lazima ajue Hilo, huwa tunafunzwa kupitia family zetu, kwa taarifa yako baba yake Hamad rashid ndio alompokea na kumchorea michoro okello!
Namaliza master of sci. In account naamini by April this yr nitakua nishasubmit desertation na ndio mwisho wamda, vile vile nimuajiriwa kule smz but now nipo dom ila naamini wakuu nitaenda kupokea not more than 6 hundred thousand, iwapo Kama kuna chance at any post in you plz 0713567751 I'm...
Usimzarau mtu ambae anaweza kuyashawishi mataifa makubwa duniani kuzuia ruzuku na misaada kwa nchi yake au taifa lake na mataifa yakatii! Maalim seif sio mtu wakawaida jamani wacha tumsikilize anamaono gani hapo kesho!
Maalim Seif Sharif Hamad (a.k.a heavy weight politician in Africa) utamjua tu Kama kweli wewe ni mwanasiasa, alishindwa mwalimu nyrr iweje hawa vitukuu na vilembwe! Maalim seif sharif Hamad ndio mtu pekee aliependekeza memorundam of understanding of multipatism in tz 1983, kwa tz yaleo hakuna...
Hiyo ni uwanja tibirinzi chake chake Pemba, na Hilo jengo bovu nilawizara ya fedha pemba pembeni ni jengo la mfuko wa hifadhi zssf, na hiyo milima ni milima ya ofisi za usalama wa taifa Pemba!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.