Recent content by kiko2

  1. kiko2

    Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

    Anamaanisha milenda kama wewe na wanaokuunga mkono, Kaskazini hamwezi ku fit! Kaskazini ya wachapakazi, sio ya washirikina na wapunga pepo, wala ya waganguzi...WACHAPAKAZI, WANAOJITAMBUA, HAWAYUMBISHISHWI, USIPOMUOA WEWE, ANAOLEWA NA mchapakazi[emoji35]
  2. kiko2

    Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

    Kajala Masanja kumbe wa Kaskazini, ndo maana...[emoji35]
  3. kiko2

    Natafuta mpenzi/love prtner

    Wanajamii, salaam! Naomba kwanza kwa kuwa sio kila post unayoiona u comment, comment inayokuhusu tu au ulioombwa ushauri. Mimi ni mwanaume, -miaka 38 -rangi chocolate -mkristu Ninahitaji la mwanamke, -miaka anzia 28 kuendelea -rangi yoyote -dini mkristu au muislamu -kabila lolote -kama ana...
  4. kiko2

    Natafuta mpenzi/love partner

    Wanajamii, salaam! Naomba kwanza kwa kuwa sio kila post unayoiona u comment, comment inayokuhusu tu au ulioombwa ushauri. Mimi ni mwanaume, -miaka 38 -rangi chocolate -mkristu Ninahitaji la mwanamke, -miaka anzia 28 kuendelea -rangi yoyote -dini mkristu au muislamu -kabila lolote -kama ana...
  5. kiko2

    Naomba nijiunge kwenye hii familia?

    Hodiii...naomba nijiunge kwenye hii familia, tafadhali!
  6. kiko2

    Magufuli is the real deal

    In fact nimeamini watu wengi wako makini sana....hata mimi nilikereka sana nilipomwona huyo jamaa anaejiita na kuwaaminisha umati mkubwa tu kuwa ni msomi mzuri, kitu ambacho mimi hawezi kuni convince, eti anasifia, hata vitendo vya wazi vya kukandamiza demokrasia....ilinishangaza, nikakata tamaa...
  7. kiko2

    Sina bahati ya kupata mwanaume mwenye kipato, tatizo ni nini?

    We una kipato....kwanza pata wewe, halaf mwanaume alie na kipato ka wewe atakuja....kams huna kipato, watakuja wasio na vipato, upo?
  8. kiko2

    Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

    Jamani....ukweli huo ukiutaka, kamwulize Daudi....siku hizi mke wa mtu hasubiri kuvuliwa, anavua mwenyewe...sasa kama jamaa ndio hvo kazama kwenye kazi/biashara, hana muda na mkewe, unategemea nini? Mwanaume kaumbwa hivyo...I mean kutamani....nini kiko ktkt ya yale mapaja? I must try and taste...
  9. kiko2

    Kama kweli kuna majini mahaba basi hili langu ni kiboko

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
  10. kiko2

    Uongozi wa Wilaya ya Kigamboni wawavua ukuu wa Shule walimu shule zilizoshika mkia NECTA

    Wavuliwe, coz they are incompetent...na sio hao wa kigamboni tu bali nchi nzima...sasa unafuga mbuzi hana maziwa, mwaka wa kwanza, 2,3,4 mbuzi huyo wa nn? Uza/chinja nunua mwingine.
  11. kiko2

    My first boyfriend

    Yeah, he got it all better than you, but I am certain your time is soon coming! Most gals have this wrong perception, that success is going to Europe, car possession etc. Success is more than that. It's about that heart's content and peace of mind, you know! Don't lose heart, God is in control!
  12. kiko2

    Wanawake ebu mtudhibitishie hili

    Sasa kama hujaulizwa na hujiskii kujibu, si upite tu? Khaaa! Mijitu mingine bhana! Tangu ijue kupost kwenye forum hii sasa anaona issue saaana!
  13. kiko2

    CCM ni Tanzania bila CCM hakuna Tanzania

    Mkubali ww!
  14. kiko2

    Wanamshangilia lakini wana mashaka!

    Hii imetulia sana chief, big up sana mwanangu
  15. kiko2

    Wanamshangilia lakini wana mashaka!

    Hii imetulia sana chief, big up sana mwanangu
Back
Top Bottom