Magufuli is the real deal

Magufuli is the real deal

Nilichokuja kugundua Magufuli ni zaidi ya msanii. Wengi watamjua baadae kwa sasa bado ila wachache wameshamshtukia

Wachache kama mimi. Nilikuwa kwenye kikao fulani zamani wakati akiwa n/w. Tulikuwa chuo cha ujenzi pale Morogoro. Ubabaishaji aliouonyesha pale ulini-put off mpaka leo. Sitakaa nimuone kama mtu makini hata kidogo.
 
I do not think there is anybody who wants Magufuli to fail unless you are not a Tanzanian ........... But the fact is there are no signs that he is going to do better!! I wish he will ..............!!!

Before replying, you should've read the post I quoted first.
 
Before you all jump all over me after reading the header you need to pump your brakes for a minute.

Those are not my words. They are PLO Lumumba's.

If you don't know who PLO Lumumba is then Google and YouTube are your friends.

Since I don't usually accuse people of saying things that they didn't say, here is the video. Take a look.

He said that shortly after Magufuli's 'immaculation'.

'Immaculation' is a portmanteau from Immaculate and Inauguration [that's for you numbskulls out there😀].

So, that got me thinking today. It got me thinking about what would he now say about Magufuli.

It also got me asking myself as to what actually made him say that especially considering the fact that the POTUROT [that's President Of The United Republic Of Tanzania] had just ascended to ascendancy.

Why the haste to extol his virtues when the man had just been sworn in?

Now that the man whom he called the "real deal" and who he said in the next 10 years was going to "provide moral and political leadership in the East African region" has transmogrified into a full-fledged potentate, what would [PLO] say? Shameful.

It's mind-boggling to me that a person of 'great' erudition like him would be that hasty.

Here I am little 'ol me mbeba maboksi with no education to speak of and I was of the 'let's wait and see' approach because I know better. I know time tells and indeed it is [telling us].

But that learned brother, a man with the spectacular vernacular to alacritously declare Magufuli in the manner in which he did is beyond my comprehension.

What the hell was he thinking?

African intellectuals.....#scratchin' my head#

huyu jamaa anapenda kubwabwaja simply because he has got that swiftness and fluency in the use of English. kuna mdada (hausigeli) mtaani anapiga danadana ya football hata Messi haoni ndani. smell my insinuation?

kwa wanaomsoma huyu "Lumumba feki" between the lines, watakubaliana na mimi it's a bag of freaking trash!
 
NN you want the guy to fail? Don't you realize that his failure is a downfall for us all? I think a patriotic Tanzanian would never wish their president to fail. It's like wanting a ship to sink while you're in the middle of an ocean.

No sane mind would be aboard a flight and still wish ill upon the Captain. I still would love to hear Nyani Ngabu's reasoning behind that, maybe we got it all wrong, or he could be delivering on his signature "Miafrika Ndivyo Tulivyo".
 
Magufuli is the real deal, judgement kuwa is real deal or not haifanywi mwanzo, inafanywa mwisho na usually the end justify the means, kufikia 2025, Tanzania yenye uchumi wa gesi, flyovers all the places, treni za umeme, ATC ikiruka dunia nzima kama Ethiopian Airlines of course with Chama kimoja cha siasa as usual for African Democracy.

Kama issues za kufanya asionekana real deal now ni huu udikiteta, ni kweli Magufuli ni dikteta na tatizo lake kubwa ni moja tuu tena dogo sana, ukosefu wa hekima na busara tuu katika kufikia baadhi ya maamuzi, anakurupuka sana na anaropoka sana ila hiki ndicho Tanzania tulichohitaji, tulichotaka, tulicho omba na tukapatiwa. Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!

Watanzia ni watu wa ajabu sana, wepesi wa kulaumu na kulalamika na kulaani huku wakijilaumu kujuta kufanya makosa na kujiapiza kamwe hawatarudia makosa, lakini unapofikia muda wa kufanya maamuzi, Watanzania ni wepesi wa kusahau, hawana tena kumbukumbu za mambo ya nyuma, ile shibe ya siku moja ya pilau na mavazi ya bure ya T-shirt na kofia, yanatosha kusahaulisha yote, na kisha tunarudia yale yale na ushahidi ni 2020! .

Watanzania ni ignorants au tumelogwa? October 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu?

Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision, au ni Ignorance?
Watanzania ni 'very unique creatures'

Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye Maendeleo au kwenye Ignorance?

Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna Vichaa Wengi Kuliko Tunavyojidhania?!.

Paskali.

A part of my slow brain tells me you're being sarcastic. Could be, could be not.
 
Magufuli ndiye mtu tuliyemsubiri kwa takaribani miaka 20 iliyopita atuongoze.....nyie watoto wa mabwia na wauza unga ulaya mtamchukia ila ndo hivyo wacha atunyooshe.....Magufuli utampenda tu hapendi ujingaujinga.....
 
Magufuli is the real deal, judgement kuwa is real deal or not haifanywi mwanzo, inafanywa mwisho na usually the end justify the means, kufikia 2025, Tanzania yenye uchumi wa gesi, flyovers all the places, treni za umeme, ATC ikiruka dunia nzima kama Ethiopian Airlines of course with Chama kimoja cha siasa as usual for African Democracy.

Kama issues za kufanya asionekana real deal now ni huu udikiteta, ni kweli Magufuli ni dikteta na tatizo lake kubwa ni moja tuu tena dogo sana, ukosefu wa hekima na busara tuu katika kufikia baadhi ya maamuzi, anakurupuka sana na anaropoka sana ila hiki ndicho Tanzania tulichohitaji, tulichotaka, tulicho omba na tukapatiwa. Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!

Watanzia ni watu wa ajabu sana, wepesi wa kulaumu na kulalamika na kulaani huku wakijilaumu kujuta kufanya makosa na kujiapiza kamwe hawatarudia makosa, lakini unapofikia muda wa kufanya maamuzi, Watanzania ni wepesi wa kusahau, hawana tena kumbukumbu za mambo ya nyuma, ile shibe ya siku moja ya pilau na mavazi ya bure ya T-shirt na kofia, yanatosha kusahaulisha yote, na kisha tunarudia yale yale na ushahidi ni 2020! .

Watanzania ni ignorants au tumelogwa? October 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu?

Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision, au ni Ignorance?
Watanzania ni 'very unique creatures'

Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye Maendeleo au kwenye Ignorance?

Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna Vichaa Wengi Kuliko Tunavyojidhania?!.

Paskali.
Pascal nakupenda sana kwakuwa uko neutral not too radical bila hoja za msingi kama manyumbu mengi sana hapa....
 
In fact nimeamini watu wengi wako makini sana....hata mimi nilikereka sana nilipomwona huyo jamaa anaejiita na kuwaaminisha umati mkubwa tu kuwa ni msomi mzuri, kitu ambacho mimi hawezi kuni convince, eti anasifia, hata vitendo vya wazi vya kukandamiza demokrasia....ilinishangaza, nikakata tamaa na mitazamo ya wasomi....
 
Hiyo clip imenirudisha nyuma na kunikumbusha Sikh ile nimesimama nikimuangalia huku nikimsikiliza Prof. Lumumba jinsi alivyokuwa akimsifia Magufuli, nikajiuliza nu kipi jamaa huyu amekiona ambacho Mimi sikijui kilichomfanya hata kufikia kuweka rehani credibility yake kwa kumsifia mtu huyu.
Nikajisemea labda intelligence yake imekua clouded na hotuba za Huyo jamaa na sifa za wapambe lakini je, hakujipa muda wa kurudi angalau kwenye uwaziri wake kujiona mechanism ya utendaji ilivyo.
Nadhani kuna haja ya Prof. Lumumba kuhojiwa kwa Mara nyingine kuhusiana na suala hili.

Hawezi kusema ukweli maana amepewa mshiko wa kuvuruga upinzani
 
Nani alijua zile sifa za wakati anaapishwa zitayeyuka mapema hivi
 
Before you all jump all over me after reading the header you need to pump your brakes for a minute.

Those are not my words. They are PLO Lumumba's.

If you don't know who PLO Lumumba is then Google and YouTube are your friends.

Since I don't usually accuse people of saying things that they didn't say, here is the video. Take a look.

He said that shortly after Magufuli's 'immaculation'.

'Immaculation' is a portmanteau from Immaculate and Inauguration [that's for you numbskulls out there😀].

So, that got me thinking today. It got me thinking about what would he now say about Magufuli.

It also got me asking myself as to what actually made him say that especially considering the fact that the POTUROT [that's President Of The United Republic Of Tanzania] had just ascended to ascendancy.

Why the haste to extol his virtues when the man had just been sworn in?

Now that the man whom he called the "real deal" and who he said in the next 10 years was going to "provide moral and political leadership in the East African region" has transmogrified into a full-fledged potentate, what would [PLO] say? Shameful.

It's mind-boggling to me that a person of 'great' erudition like him would be that hasty.

Here I am little 'ol me mbeba maboksi with no education to speak of and I was of the 'let's wait and see' approach because I know better. I know time tells and indeed it is [telling us].

But that learned brother, a man with the spectacular vernacular to alacritously declare Magufuli in the manner in which he did is beyond my comprehension.

What the hell was he thinking?

African intellectuals.....#scratchin' my head#

PLO just like some of the members here were right to have praised him especially in his first early months, for he seemed to be walking on the right path and apparently was engaging himself with people's grievances and concerns . The supporters genuinely believed that he would bring hopes to the poor and transform the economy and the country at large in a number of issues.

I don't know what is going on now in their minds, but I wouldn't be surprised to see that their perceptions have changed. Some of the JF members have come forth and declared that they were very wrong to have thought of him that way, and are now feeling sorry for what is happening now. If this has happened to JF members then it can happen to anyone out there.

I think we could ask our media to interview some of the influencial individuals like PLO and see what their stances would be on African Leaders particularly with regard to what is being done by our country's CEO in relation to people's expectations during election time.
 
Prof Lumumba should have even predict the insights of his real deal before uttering what anything.
 
Back
Top Bottom