Karibu. Humu hatujuani ila ila kiko2 ndiyo nini?Hodiii...naomba nijiunge kwenye hii familia, tafadhali!
Duh! Tumefikia huko?Karibu, kama ni Me njoo nikukague...
Tumefika wapi? Na unajua kukaguliwa nini?Duh! Tumefikia huko?
Hodiii...naomba nijiunge kwenye hii familia, tafadhali!
Na kweli wengine tundu bili.Karibu, kama ni Me njoo nikukague...