Habari zenu wanajamvi,
Mpaka naandika hapa kuhusu hili tatizo nililonalo la kuanguka na kupoteza fahamu ambalo lilinitokea kwa mara ya kwanza mwaka 2013 nikiwa na miaka 30.
Nilianguka ghafla tu nakupoteza fahamu kwa takribani dakika 10 na baadae fahamu zikarudi nikiwa nasikia mwili unauma na...
Habari ya jioni wajasiliamali wenzangu,
Kamakichwa cha habari kinavyojieleza kwa mwenyetaarifa au ufahamu wakutosha kuhusu ufugaji wa mfugo huo aina ya bata pamoja na soko lake kwa kina maana nipo kwenye mchakato wa kuanza ufugaji huo kuanzia mwezi wa nane(8). Nimatarajio yangu nitapata...
Wewe ni mnafiki tena mbulula wa kutupa.Piga majungu uwezavyo ila Tido Muhando ni level nyingine. Mlimtoa BBC kaja akaanza kuendesha program kidigital nyinyi mkawa mnataka kuendelea na analogue yenu na uporipori wenu macho.Kora a wakubwa nyie.
Inaonekana ww hujamuelewa mleta uzi . yeye ni katika pitapita zake Huko US ndipo alipomkuta Ange Kagame wapo kazini na kampuni inayofanyanae kazi. Kiufupi mleta Uzi ukiacha tu kuwa kasomea actuarial science pia ana know how kwenye uandishi wa nakala. Nimependa the way alivyocoordinate Uzi wake .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.