Mi naiKubalI sana Hii BurUdaNi iNa lAdhA ya macHunGwa na Ile nYingine Inaitwa ZEd inaLadha ya nAnasi. Ni shiDaaqq!
Dah! buruDani ndo PomBe Yangu yAkuToLea LoKu nKiwa Na HangOver. MI NaOna iKo poa HasA uLe UcHachu WaKe Ni shIdaa!
jaribu na Wewe sIku mojA kuTolEa Loku mKuu uTaipenda.
Mi naiKubalI sana Hii BurUdaNi iNa lAdhA ya macHunGwa na Ile nYingine Inaitwa ZEd inaLadha ya nAnasi. Ni shiDaaqq!
FUaTaaa MamBo YakOooo.
Soma topic kwaNza kama utaKi unaaaCha.
Hahaaa nimeipenda kumbeunaijua. Jf. Vilivyompwa. Chumbilechamlungu. Chakumemenawadau tangu nianze kutumia product hii itokanayo na machungwa nimetokea kuipenda sana sijui wanywaji wenzangu mnaitathimini vipi?
note:
sitaki matusi na dharau kama si mnywaji poteza.
Mkuu umenishauri nikasali kwa Mchungaji Katunzi Mtongani, mbona hapa unapromote kilevi tena konyagi ya machungwa? Wabongo na Jf bwana!wadau tangu nianze kutumia product hii itokanayo na machungwa nimetokea kuipenda sana sijui wanywaji wenzangu mnaitathimini vipi?note:sitaki matusi na dharau kama si mnywaji poteza.
naikubali sana iko powawadau tangu nianze kutumia product hii itokanayo na machungwa nimetokea kuipenda sana sijui wanywaji wenzangu mnaitathimini vipi?
note:
sitaki matusi na dharau kama si mnywaji poteza.
Mhubiri 9:7 inaamuru, kunywa kileo na moyo mkunjufu. Zaburi 104:14-15 inaeleza Mungu hutoa divai inayofurahisha mioyo ya wanadamu. Amosi 9:14 inazungumzia juu ya kunywa divai kutoka kwa shamba lako kama alama ya baraka za Mungu. Isaya 55;11 inapongeza naam, njoo ununue divai na maziwa Situkani ila kila aina pombe, kileo na mvinyo ni dhambi ya kutupeleka motoni; kwa mnywaji na muuzaji.
{HABAKUKI 2:15-16}
Kuna siku nilimkuta Msanii mkubwa tu wa muziki kalishikilia hilo likiroba la Burudani.. Hapo ndio nikajua hawa wasanii wetu wengi wanaishia maisha ya kuigiza..