Recent content by Kijuram

  1. Kijuram

    Mpenzi wangu ana viatu pair 75, handbags 47, mikanda 70, mawigi 62 nimeamua kumuacha kimya kimya

    Acha kulalamika mwanaume, kuhudumia ni kazi yako. Gesi, kujaza friji yote ni jukumu lako hilo.
  2. Kijuram

    Je, anaweza kuhama kwenda combination ya PCB kwa matokeo haya?

    Kama anayapenda masomo ya PCB na ni mtu mwenye jitihada muache aende anayo nafasi ya kufanya vizuri, lakini awe makini sana na Physics.
  3. Kijuram

    Kelele na hofu kubwa ya COVID-19 ni filamu ya Mission Impossible 2 (2000) kwa vitendo?

    Labda hujawahi kuzielewa. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Kijuram

    Museven katika hii Corona anacheza kama Pele

    Wakati Dada anatawala M7 alikuwa kwenye vikundi vidogo vya waasi akiendeleza harakati chini kwa chini. Mara baada ya Nduli kutolewa na majeshi ya Nyerere, akaingia Yusuf Lule, ambaye hakukaa sana Obote akarudi madarakani. Obote alikuja kupinduliwa kwa mara ya pili, safari hii akipinduliwa na...
  5. Kijuram

    Kama simu yako ni original chora huu mstari

    _______________________ Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Kijuram

    Kipi kati ya haya ni upungufu wa nguvu za kiume?

    1 na 3 upungufu wa nguvu za kiume. 2 ni uhanithi 4 ni ugumba.
  7. Kijuram

    IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    Mimi sikuona youtube, nilipoona jibu halipatika nikaongeza umakini nikaona mtego uko wapi![emoji3]
  8. Kijuram

    Ukikumbuka kuwa ipo siku utakufa huwa unajisikiaje?

    Mimi huwa sina muda wa kuwaza tukio ambalo hata sijui mini litatokea. Angalau ningekuwa najua tarehe ingenifikirisha labda.
  9. Kijuram

    Ugawaji wa alama "points" kwenye Belgian Pro League Play-off season ukoje?

    Jibu nimelipata; Timu zinaanza playoff season wakiwa na nusu ya points walizokusanya kwenye regular season. Ikitokea nusu ya point hazileti namba kamili wanachukua the nearest above, kwa mfano; timu ikimaliza na 67 points, nusu yake ni 33.5, timu hii inaanza playoff season ikiwa na 34points...
  10. Kijuram

    Ugawaji wa alama "points" kwenye Belgian Pro League Play-off season ukoje?

    Ligi ya regular season ina time 16, ina kila timu inacheza mechi 30, timu 6 za juu zinaingia kwenye championship playoff league. Kwenye regular season Club Brugge walipata alama 67. Kuna uhusiano gani kati ya alama 45 za playoff league na 67 za regular. Bado sijaelewa, nilijaribu kugugo sijapata...
  11. Kijuram

    Ugawaji wa alama "points" kwenye Belgian Pro League Play-off season ukoje?

    Uwezo wangu wa kugugo mdogo, ukinisaidia nitashukuru.
  12. Kijuram

    Ugawaji wa alama "points" kwenye Belgian Pro League Play-off season ukoje?

    Nikiangalia msimamo wa ligi hii napata mkanganyiko namna gani wanagawa points. Kwa mfano; Club Brugge wameshinda mechi 3, draw 2, wamepoteza 3 wana alama 45, zinatoka wapi hizi? Tusaidiane hapa tupate uelewa.
  13. Kijuram

    Madai haya ya Zitto kama ni ya kweli, basi hii ni moja ya sababu kwanini sisi ni masikini na tutaendelea kuwa hivyo

    Yeye tayari anatimiza jukumu lake kama mwanasia Yeye tayari anatimiza majukumu yake kama mwanasiasa ambayo ni kushauri, kukosoa, kuhamasisha na kuonyesha njia sahihi. Serikali ina jukumu la kutengeneza mipango na Sera nzuri za kiuchumi ili wananchi waweze kujikwamua kiuchumi, japokuwa yenyewe...
  14. Kijuram

    Unajisikiaje unapoona classmet wako ni kiongozi mkubwa Serikalini na mwenye maamuzi wakati wewe upo upo tu?

    Maisha sio kushindana. Kila mtu anajukumu la kufanya jitihada kwa aliyojaaliwa na Mwenyezimungu ili spate mafanikio ya kiuchumi maishani. Lakini pia ni lazima tukumbuke kuwa "Jitihada hazishi kudra". Hakika Mwenyezimungu huwaruzuku waja wake bila kuhesabu nani kampa kidogo, na nani kampa kingi.
Back
Top Bottom