Gharama za maisha zipo juu mshahara chali, je pana ufanisi wa kazi hapo au bora liende? Huwez kufanya kaz kwa ufanisi wakati mtu akiwa kazini mawazo kibao kichwani ya namna gani ataendesha family mana asilimia kubwa ya watumishi wa umma wanaishi kwa madeni tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani kasema mambo yote yaliyofungwa yanafunguliwa mwaka kesho yani kuanzia mwez wa saba 2017/2018 msiende mbali kiasi hicho kama ww n mfanyakaz subir mwez wa saba in miez miwili tu bado kuanzia sasa msiwe na hasira kiasi hicho.
Wataalamu wanasema huku sio kuzuri sana kutangaza biashara coz huwezi jua kama ni biashara kweli au ndo vile kama mnavyojua. Ushauri wangu kwamba kama una biashara usitangazie huku nenda kwenye mitandao mingine ya kijamii mana huku biashara inaweza kukudodea lkn sababu zake ckui ila elewa hvyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.