Recent content by Kijiko cha Jikoni

  1. K

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta yapanda maradufu. Petroli bei yaongezeka kwa kati ya Tsh. 100 - 321

    Sirikali ipunguze tozo bei ishuke
  2. K

    JamiiForums Tanzania Petrol na diesel Tanzania ni ghali kuliko Kenya

    https://youtube.com/clip/Ugkx1hADSnmOUNX25UkZTOROxOAIenMyW0oL
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tuzungumze kuhusu oil za automatic gearbox, huenda siku ikakuokoa gharama

    Oil ya Toyota nyingi inauzwa bei kubwa sana. Mimi natumia hii.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Automatic transmission problems

    Nakushukuru sana Mkuu kwa ushauri wako na kuonesha nia ya kunisaidia
  5. K

    JamiiForums Tanzania Automatic transmission problems

    Asante sana Mkuu KWA ushauri wako. Tuliondoa driving shaft ya mbele kwa sababu mafundi wa huku Tabora huwa wanaziondoa KWA lengo la kupunguza ulaji wa mafuta. Pia spare parts za CV joint, cross bearing ya shaft za mbele na rubber boots zote ya nje na ya ndani KWA Noah SR 50 4WD hazipatikani...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Automatic transmission problems

    Nina magari mawili yameanza matatizo kwenye uingizaji wa gia. Gari moja ni NOAH SR 50 4WD tulitoa driving shaft ya mbele ikabaki kuvutia nyuma. Baada ya wiki mbili ikaanza kugoma kuondoka hata ukiingiza gia kwenye D na baadaye ukiongeza moto inaondoka kwa kushituka. Gari ya pili ni IST injini...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kabla hujanunua European brand kwa mkumbo zingatia

    Natafuta cylinder head ya Toyota Land cruiser injini ya 1HZ used bei gani na mpya bei gani. Nipo Igunga Tabora.
  8. K

    JamiiForums Tanzania MLIMA WENYE MAWE MEUPE KAMA CHOKAA

    Asante kiongozi
  9. K

    JamiiForums Tanzania MLIMA WENYE MAWE MEUPE KAMA CHOKAA

    Katika tembea tembea yangu porini maeneo ya Mkoa wa Tabora nimekuta mlima mwepe wenye mawe meupe kama chokaa. Nimevunja mawe hayo lakini siyo magumu sana nimeyasaga yametoa unga mwepe kama chokaa. Naomba wanaofahamu mawe ya chokaa, gypsum au kao!in wanisaidie sifa zake ili nifahamu huu mlima ni...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kuna injini mbadala wa Pajero GDI?

    Rafiki yangu ilimzingua akaweka injini ya Noah 3s leo mwaka wa 4 uko poa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Je, Maji ya hizi Mvua zinazoendelea ni salama?

    Hata sisi huku Igunga Tabora Maji ni meusi. Nadhani ni vema wataalamu wachunguze suala hili.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Katika maisha yangu haya ya ujana, sijakutana na mwanamke bikira kimwili

    Kama unatafuta wasichana bikra nenda Mkoa wa Mara. Huko msichana Akifika kwenye litungu usiku hukaguliwa na bibi yake hivyo mabikra wengi tu. TAHADHARI, huko usiende kwa lengo la Kuona na kuharibu Nitarudi salama.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kakonko aitaka serikali kuongeza mshahara kwa wafanyakazi

    Kwa kuwaona Kazi tuliomba wenyewe basi tuchape Kazi tu
Back
Top Bottom