bado engine ni mpya na haina shida but nataka tu kubadilisha coz nasikia kuna engine zinaweza kuingiaBro unashindwa ku search online? Injini yako ina shida gani? si ufanye overhaul inakuwa mpya...Mitsubishi ni gari imara sana na spea zipo kibao.
hadi ifike size mia. sijakuelewa mkuu sinajinasasaHiyo engine subiri ichakae na body lake, hadi ifike size mia sio leo!
Noah kuna 4s, 3s ni ipi exactly? na almost iligharimu sh. ngapi?Weka engine ya Noa. Mimi niliweka ipo poa.
naona mkuu unatafuta ushauri wa kuuza smart phone na kununua nokia torch. unachotaka kufanya ni uhalibifu mkubwa kwenye gari utaanza kutembea na gari iliyo ungwa ungwa drive shaft na maounting unaharibu kabisa gari.Noah kuna 4s, 3s ni ipi exactly? na almost iligharimu sh. ngapi?
Bro uaiharibu gari. Engine GDI ni bomba. Mimi ninayo gari hii miaka 3 sasa with engine yake 4G94 H77W 1990cc model ya gari 2003 iko bomba. nimepiga nayo dar-mza mza-dar, dar-tanga tanga-dar, dar-lindi lindi-dar hakuna matatizo yoyte ya engine.
Kitu muhimu ipende gari yako fanya service ontime oil weka nzuri na oil filter ya toyota original.
Nategemea kupiga nayo dar-makambako-njombe-kitulo-mbeya-tunduma-rukwa-katavi-skonge/kigoma to tabora to mwanza.
filters zinaingilianaGari mitsubishi ila filter aweke za toyota, how??