Kijiko cha Jikoni
Member
- Nov 24, 2017
- 13
- 10
Katika tembea tembea yangu porini maeneo ya Mkoa wa Tabora nimekuta mlima mwepe wenye mawe meupe kama chokaa. Nimevunja mawe hayo lakini siyo magumu sana nimeyasaga yametoa unga mwepe kama chokaa. Naomba wanaofahamu mawe ya chokaa
, gypsum au kao!in wanisaidie sifa zake ili nifahamu huu mlima ni nini.