Recent content by kijenge juu

  1. K

    Jamani askari tuliostaafu tunaomba Rais Magufuli utukumbuke pensheni bado, hali ni ngumu mtaani huku

    Mkuu umestaafu na miaka mingapi? Mbona mwandiko kama wa MTU aliyepp kwenye 20's
  2. K

    Hivi huu ulikuwa ushirikina au mazingaombwe?

    Mkuu hii ifungulie Uzi ksbisa naona n kisa kitamu sana
  3. K

    Swali kuhusu selection za vyuo vya afya Diploma

    Vyuo vya serikal huangalia ufaulu wa juu kidogo mfano mdogo kuna vyuo MTU wa mwisho alichaguliwa akiwa na div2 ya 19 tena na masomo hitajka alipata BCC Yaan chem B phys C bios C Je wewe unaufaulu wa ngapi? Tuanzie hapo ili tukupe ushauri
  4. K

    Ruvuma: Askari Polisi wamchoma Singe Mwenyekiti wa Kijiji baada ya Mwenyekiti huyo kugonga usiku Kituoni akitaka huduma

    Mkuu kina mbuya songea n wengi sana tena hasa maeneo ya peramiho iliwahi ishi eneo hilo ni wangoni sasa sijajua muingiliano Wa majina haya Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    Uthubutu: Kijana atakayeelezea jinsi atakavyoizalisha elfu 50 ndani ya mwezi mmoja nitamkopesha bila riba

    Hongera sana Mkuu tunahtaji watu kama nyie ambao mnaonesha kweli una nia na unachokifanya uthubutu Wa kuja hapa kutueleza juu ya utekelezaji wako Mimi nakuahid kukupush katiaka project yako ya kuku kwakukupa kuku watano makoo (jike) wadogo kama hao baada ya wiki mbili zijazo kwan nilionao bado...
  6. K

    Uthubutu: Kijana atakayeelezea jinsi atakavyoizalisha elfu 50 ndani ya mwezi mmoja nitamkopesha bila riba

    Mmeanza kumyumbisha mtoa mada tafadhar simamia Mawazo yako binafs ukinipa fursa nichague top 2 ni wafuat Peramiho yetu Zero IQ Mmojawapo anafaa kwan Mawazo yao yanatekelezeka vizuri kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    Uthubutu: Kijana atakayeelezea jinsi atakavyoizalisha elfu 50 ndani ya mwezi mmoja nitamkopesha bila riba

    Huyu jamaa nimemfuatilia kiukwel wazo lake linatekelezeka hasa ukiangalia kitu amabacho MTU yeyote anaweza kufanya Hata asiposhinda namm pia anicheki pm nione namna ya kumsaidia tunahtj Mawazo kama haya HUYU NDIYE MSHINDI WANGU Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    Uthubutu: Kijana atakayeelezea jinsi atakavyoizalisha elfu 50 ndani ya mwezi mmoja nitamkopesha bila riba

    Wazo bora sana hili kwa kijana mwenye uthubutu hii n biashara yenye faida sana hasa kwa maeneo yenye watu wengi nimefanya hiii biashara naifahamu iliponifikisha haihiitaji aibu biashara hii inabid utoe ubrazamen WAZO BORA KWANGU Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    Liverpool imeiumbua E.P.L , sio ligi ngumu kama tulivyoaminishwa

    Nilichogungua mleta mada ana chuki binafs na Liverpool ila kaamua kujifichia kwenye kufananisha EPL na ligi nyingine mm shabik Wa man u ila liverpool itatutoa roho mwaka huu na nadhan tusipojpanga hawa jamaa watatawala sana ligi hii
  10. K

    Nicholas Musonye ni Katibu wa Milele wa CECAFA ?

    Kwa hyo kumbe WWE ndio ulinichongea haya bwana
  11. K

    Zimbabwe kununua Korosho za Tanzania

    Rais alisema korosho zote zitabanguliwa lazima tuuze zkiwa processed na alitumia nguvu kubwa kuuaminisha uma juu ya hili hapa je tutauza zkiwa zmebanguliwa Au la Kitu kingne rais aache kutuongopea alisema Kuwa wahabeshi watatumia bandari yetu je hili suala limefikia wapi? Mwisho watetezi wa...
  12. K

    Kinachomfanya Makonda abaki madarakani ni siri kuu.

    Rais anakifuga kinyago Ipo siku kinyago alichokichonga mwenyewe atakiogopa muda utaongea japo sio Leo
  13. K

    Polepole: Wabunge wa CCM wenye nongwa kukatwa 2020

    Hcho ndicho wanachoweza ccm kwasada sasa kuwekeana visasi umbea na unafiki hyo nape akumbuke aliyowafanyia Watanzania juu ya kebehi zake juu ya bunge asitetewe nape akatwe tu na yeye polepole ajue tu kila zama na kitabu chake asje akatolewa nje ya system akawa mbwabwajaji Kama nape WATANZANIA...
Back
Top Bottom