IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,033
Ni kitu cha kushangaza MTU Huyu anaangaliwa tu licha ya madudu anayofanya hasa kauli zake tata haipendezi.
Mara ya kwanza niliona anaonewa lakini amezidi kuzingua daily anakuja na jipya.
Ili la Toyota IST anakosea
1.si kila mwenye hiyo gari kahongwa MTU kaloan pesa kanunua unadhani anajisikiaje.?
2.kampuni wanaotengeneza hizo gari anawashushia brand yao.,makonda ni kiongozi ana influence.
Mi naamini makonda yuko dar kwa ajili ya uchaguzi 2020 nadhani hiyo ndio mission kuu.,kusambaratisha upinzani.
Au kuna agenda ya siri anaijua mkuu na makonda tu.