Sioni sababu ya kumtusi mzee wa watu maana hata ukisoma ulivoandika ts al about attackn his appearence which for my take its our main goal.for those who listened to him jana agree with me kua he answered the qnz vizuri sana and he is one of the cleaneast leaders we have in TanZania
Ngosha unajua hata Yesu au Mohamed S.A.W alivokuja n started preaching they dint wanna hear and nw thy cryng 4 salvation so VINEGA r making history leo.....U can kill tha revolutionary but U cnt kill the revolution.badae ustawi
Yani ckutegemea hata humu kwenye great thhinkes we have pipo of da lowest IQ....Vinega aint compared to Commedy not in a million yearz!!twende ustawi leo uone hw real man do it!!
Mimi ni mtanzania ambae nimekua nikifatilia sana sias za hapa kwetu Tanzania.kutokana na hali legelege ya CCm,Chadema imekua ikijiongezea umaarufu kwenye jamii.ndio nikapata swali hiv Chadema ni Option au ndio solution??
Kwani Slaa kutoka ccm kwenda Nccr ni kuganga njaa?marando je?hata yule mzee wa Ukonga??hakuna logic behind your argument.he is a Tanzanian who has the ryt 2 shift from one party 2 anotha f he sees that numbers aren't adding up!!
Wasira ni kiongozi pekee aliebaki ndani ya CCm ambae he is still very clean.ni kiongozi ambaye amedumu ndani ya awamu zote nne za serikali ya tanzania na ameonyesha bado unyenyekevu,ustahimilizi na uwajibikaji ambao most of the Tanzanians leaders lack.sio kilakitu mnakua mnakosoa look at the...
Tanzania ni wakati wa kulilia systeam sahiv wala sio mda wa kukaa na kuvishangilia,kuchukiana au kuuana kwa sababu ya vyama vya siasa.vyama vyetu vya siasa ni ballot-boxes-paries,yani vyote vinaongea kwa nguvu sana kukosoana na kuharibiana ilihali vishinde kura .leo hii hata ccm ikitoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.