Bungeni: Mwigulu full mipasho, Wassira na wengine waendeleza (Nov 16)

Wasira ni kiongozi pekee aliebaki ndani ya CCm ambae he is still very clean.ni kiongozi ambaye amedumu ndani ya awamu zote nne za serikali ya tanzania na ameonyesha bado unyenyekevu,ustahimilizi na uwajibikaji ambao most of the Tanzanians leaders lack.sio kilakitu mnakua mnakosoa look at the bright side of it
 
Sina muda wa kujadili sokwe mtu. Wakati zinjanthropus wanabadillika na kuwa binadamu wasira alisahulika, mwache hajui alitendalo na muda wote yeye ni kuwaza msitu. lisenge lisokwe lile.
 
Wasira ni kiongozi pekee aliebaki ndani ya CCm ambae he is still very clean.ni kiongozi ambaye amedumu ndani ya awamu zote nne za serikali ya tanzania na ameonyesha bado unyenyekevu,ustahimilizi na uwajibikaji ambao most of the Tanzanians leaders lack.sio kilakitu mnakua mnakosoa look at the bright side of it

Hivi huyu hakumbuki walivyokuwa wakimfanya alipokuwa NCCR? Hivi huko NCCR alikuwa amefuata nini vile? au ilikuwa kuganga njaa? na alipoona kuwa hakuna pesa akaenda kuwapigia magoti Magamba? Huyu mzee ni mbaya kuanzia kwenye sura yake, roho yake hata watoto wake! Huyu mzee sijui yukoje mpaka anakubali kutumika hivyo?
 
Kwani Slaa kutoka ccm kwenda Nccr ni kuganga njaa?marando je?hata yule mzee wa Ukonga??hakuna logic behind your argument.he is a Tanzanian who has the ryt 2 shift from one party 2 anotha f he sees that numbers aren't adding up!!
 
Ni lini Dr Slaa alihamia NCCR? Wakuu hebu mpotezeeni mtu huyu, yuko darasani anajifunza, endeleeni na mjadala.
 
umenikumbusha matokeo ya mwaka jana alimhonga mgombea wa cdm akamwachia ulaji, hata dr. Slaa alivyoenda bunda kwenye mkutano wa hadhara baada ya uchaguzi watu wa bunda walimtaka ashuke jukwaani. Sasa sijui wasira anaweza kuongea nini wakati ameingia bungeni kwa kuhonga.
fanya utafiti usikurupuke! utaabika.
 
Ndugu sikupingi kwa itikadi yako ya siasa, nakupinga kwa vile unasema "kwanza asilimia kubwa ya hao kina wasira hawana mda mrefu" naogopa kwa wewe kujipa U -Mungu wa kuamua nani ana muda mrefu wa kuishi na nani anastahili kuondoka, hujashuhudia kuwa wenye umri mdogo wanawaacha watu wazima?? Ahaaa Bwana eehee acha kimya lakini toeni maoni yenu mkifikiria kuwa kuna Mungu.
nahisi wanaojadili hapa hawamjui Wasira vizuri, he very vigilant politician hata slaa anajua ndo maana hawezi jenga hoja juu yake.ni mzalendo hata element zinaonyesha wazi.
hawa mashabiki wa hapa jukwaani wameongezewa UTUNDU WAO NA TUNDU, HUKO NYUMA HAWAKUWA HIVI,KWAKUWA WANAPEWA MISAADA NA CAMERUN.
 
TUNDU LISU hajampotosha mtu yeyote kule bungeni ila sema CCM na CUF ni mbumbumbu wa kufikiri na kutafakali moyoni kitu kikiongewa kwa ufasaha kama alivyosasilisha mh. Tundu Lisu
 
Back
Top Bottom