"Wanangu msijali ninakwenda safari,nikirudi nitawaletea pipi"Bado tunasubiri pipi(maisha bora kwa kila Mtz)tulizoahidiwa zitakuja lini?au baba hajarudi? Ila inaonekana amerudi na ametuletea pipi zenye ladha ya ndimu na ukwaju ambazo ni mfumuko wa bei,migomo,maandamano,vurugu za kidini,madai ya...