Recent content by kihedemuswede

  1. K

    Sasa kushusha bei nyumba za NHC hasara ni ya nani?

    Hizi nyumba ni Bora wazitoe kwa Serikali kwa ajili ya kuishi watumishi wa Umma hasa watumishi wa Afya, waishi humo wachangie kodi kidogo kuliko zimebaki idle hazikaliwi na mtu.
  2. K

    Mkaguzi vyeti feki naye atajwa katika walioghushi

    Hivi kwa nini Bandari nao wameachwa?
  3. K

    Africa Cup of Nations (AFCON) 2017, Special thread

    Jamani hivi TV ya bongo ni IPI inaonesha?
  4. K

    Kwa wazoefu wa kuagiza magari befoward

    Kama ipo chini ya Beforward,andika namba ya hiyo Gari,huanza na bf....(namba),nenda ofisi za beforward Tanzania, halafu watakufanyia mahesabu kujua mpaka ulipate mikononi itakugharimu shilingi ngapi,maana hapo,kuna Malipo ya kununua gari$306,halafu,shipping fee,kodin.k,,Malipo ya hao beforward...
  5. K

    Nimeokota peni ya ajabu

    Nakushauri pia,tulia,jioni rudi mwambie Jirani kumbe ile peni ni Urembo tuuu,pia,kwenda kuyauza kwa sasa hivi subiri kwanza,tulia,maana waliyoyapoteza bila shaka wanayatafuta hadi maeneo watu wanayouzia madini,hivyo waweza kwenda kwa haraka nao wakakudaka,jipe miezi,then kauze kidogodogo,pia...
  6. K

    Nimeokota peni ya ajabu

    Kuwa makini sana,pia hasa huyo Jirani uliyemwambia
  7. K

    TCRA kwa kuendelea kuwadekeza Clouds kuna siku watatuwekea Ngedere kutangaza taarifa zao za Habari!

    Hivi clouds nako kuna taarifa ya habari????mie najua ni ITV tuuu na saa moja ni Chanel ten
  8. K

    Kuna familia zina laana ya asili

    Ni kweli mshana,kuna koo nyingine daaaah!ngumu kuelezea kwa kweli,ila ubarikiwe sana kwa ujumbe huu,maana umewafungua wengi macho na imani tutayafanyia kazi
  9. K

    Nyumba napangisha ipo Mbezi Luis

    Napangisha Nyumba, ni yangu mwenyewe, IPO mbezi ya kimara,kilometer 1.2 toka barabara Kuu ya morogoro, INA Nyumba vitatu vya kulala,one master bed rm,library,public toilet mbili moja IPO nje, ,sebule,dining,majiko mawili la ndani na nje,Maji ya dawasco yapo,umeme Wa luku,INA fence,tanki kubwa LA...
  10. K

    Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Kuna mdau Kauliza juu ya mtoto kuamka asubuhi kanyolewa nywele, mjibu tafadhali, utatusaidia wengi, maana nami nimekumbwa na hilo kwa mwanangu
  11. K

    Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Mada murua kabisa, big mshana jr
  12. K

    Yahusu vibali vya uhamisho

    Wapi vitatolewa? TAMISEMI Dodoma au Utumishi Magogoni?
  13. K

    Waarabu wana nguvu Iringa

    mbona nyie wachaga ndio mnaongoza kukimbia moshi kwenda miji mingine kama dar...acha dharau...update brain yako.
Back
Top Bottom