kihedemuswede
Senior Member
- Nov 25, 2013
- 141
- 41
Napangisha Nyumba, ni yangu mwenyewe, IPO mbezi ya kimara,kilometer 1.2 toka barabara Kuu ya morogoro, INA Nyumba vitatu vya kulala,one master bed rm,library,public toilet mbili moja IPO nje, ,sebule,dining,majiko mawili la ndani na nje,Maji ya dawasco yapo,umeme Wa luku,INA fence,tanki kubwa LA cubic meters 19 la kuhifadhia Maji,cars parking gari tatu,kuna bembea za watoto,makabati.Bei laki tano kwa mwezi,Mwenye uhitaji aniPM.