Recent content by Kigonsela

  1. K

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    All the best kops
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hongera ITV super brand,Tuleteeni Mwamunyange naye afunguke

    samahani, kama kuna mtu anajua marudio ya kipindi cha dk 45 ni lini na muda gani atusaidie kujua, bahati mbaya wengine jana hatukupata fursa ya kukiona.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 14 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    miaka 50 baada ya muungano leo tunajadili uhalali wa muungano, je hiyo ndio ajenda ya kuwaletea maendeleo wananchi? tatizo kubwa la nchi yetu ni wanasiasa wetu, wanatutoa kwenye agenda za maendeleo wanatupeleka kwenye mapambano yao ya kugombea madaraka. muda na rasilimali fedha zinazotumika...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni mpya ya simu ofisi ziko wapi?

    ofisi zao nasikia zipo mikocheni
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tutafakari maneno haya ya Sitta baada ya kuchaguliwa

    maneno yake yanatupa matumaini
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kushabikia kura ya wazi ni wendawazimu

    fafanua kidogo ufafanuzi gani unaohitaji.
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mdau LiverpoolFC Apata Msiba

    apumzike kwa amani
  8. K

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: Bernard Membe ahojiwa na Kamati ya Maadili CCM

    mwaka huu tutasikia mengi,sisi yetu macho
  9. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kukutana na wanahabari leo mchana

    CHADEMA kufanya press conference leo saa 7 mchana. Wakati wa kipindi cha yasemavyo magazeti leo asubuhi, zimetoka habari kuwa uongozi wa CHADEMA leo mchana utakuwa na mkutano na wanahabari makao makuu ya chama. Kitakachozungumzwa tuvute subira!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ninavyoona juu ya man utd, arsenal, liverpool, chelsea na man city

    sawa huo ni mtazamo wako ila kwenye ubingwa hata liverpool wanaweza kuchukua kama wataendelea na performance yao ya sasa.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Suarez v diego costa

    timu ndogo zinacheza premier league? kuweni wakweli suarez yupo vizuri sana msimu huu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Simba yaua

    mnyama kaua 2-0, wafungaji joseph owino na amri kiemba. kwa maelezo zaidi pitia bongostaz.blogspot.com utapata picha na maelezo ya mechi nzima.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Zitto vs CHADEMA:Kuna mazingira yanaandaliwa ku-influence uamuzi wa mahakama

    toa ufafanuzi zaidi kaka, tumekuelewa ila tushibishe zaidi mana inaelekea kuna mambo yamejificha umeyabaini
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Temeke Joseph Yona, apigwa na kuumizwa vibaya!

    siasa za nchi hii, sasa tunakoelekea ni kubaya
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea mitaani kwa ajili ya kumpa support ZZK leo pale H.C

    saga continue.....
Back
Top Bottom