Mdau LiverpoolFC Apata Msiba

Mdau LiverpoolFC Apata Msiba

Mkubwa,
KUMEKUCHA TENA.
NIPe ripoti mipango inaendaje...
Natambua kuwableo ndio siku maalum ya kumpumzisha baba yetu mahala pa salama, nazidi kumsihi Mungu alisimamie suala hili mkamalize salama.
Naamini utatujuza maendeleo.

Kila la heri mkubwa.
 
Mods hawajautendea haki huu uzi kwa kuuleta jukwaa la sport! Hili ni jambo la mahusiano na msiba sio wa club bali ni member mwenye jina linalofanana na club!

Pole sana Kiongozi kwa msiba!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom