Recent content by kigoma mjini

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tamko la umoja wa waganga wa kienyeji Tanzania (UWAKITA) juu ya mwenendo wa siasa ya Tanzania

    hakika God is Great, mbinu zote zimefeli waganga wameamua kusujudu kwa Mungu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Flora Mbasha ajifungua, nani baba wa mtoto?

    Nilikuwa nafuatilia kule Facebook kama ni kweli mtoto ni wa Gwajima, je kama mchungaji inakuwaje anazaa na mke wa mtu,je Gwajima ana mke au huu ndio utumishi. Ninakitabu cha Gwajima kinaitwa Mega church amezungumzia kuhusu jinsi waumini wanavyopaswa kuwaheshimu wake za watumishi inakuwaje...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nitagombea Urais - Kisandu Deogratius

    Nani mnywa gongo?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wazalendo watanzania---watch this video

    KWA WA ZALENDO WA NCHI YANGU TANZANIA. Na hii ndio Zawadi kwa Taifa langu kadri ya uwezo wangu. Jiamini Wewe na Mimi tu Watanzania, tukijua hivyo tutailinda AMANI yetu na Upendo tuliyoachiwa na Wazee wetu.Pia tukio hili linapatikana Youtube "Mama yangu Tanzania". Ni maneno ya Kisandu...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Makanisa yanadharirishwa na vyama vya upinzani-nakuwasafisha tena.

    Kama ni dharau basi ni hili sakata la ESCROW, ambapo watumishi wa Mungu wamezalilishwa sana eti leo haohao wanajitokeza tena kuwasafisha bada ya kuwa vua nguo hadharani. Huu uhuni wenu unabomoa nchi. Mmeona viongozi wadini wamekasirika mnaanza kuomba msamaha kwa kuwasafisha. mbona hamkusema...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa shule Igoma sekondari ya Mwanza anaongoza shule kwa makundi

    poleni sana hata mkolani sekondari ni hivyohivyo
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arumeru Joshua Nasari kuagana ukapera Jumamosi 07-June-2014......

    umehitimisha siku yangu leo
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nassari kufunga Ndoa Jumamosi

    mkewe ni Halima Mdee, mmesahau kampeni za arumeru
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kambi Rasmi ya Upinzani wasusia Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini na kutoka nje ya Bunge

    mwenyekiti wetu ni jembe anajua kusoma alama za nyakati akajiwahi kutoka bungeni. hapa ndipo umhimu wa mbowe unapoonekana.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Msaada "Standing order for the public service 2009"

    nenda google kwa msaada zaidi
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe asinzia bungeni asubuhi hii

    dogo karibu UD uje tukufundishe siasa, tatizo lako unayemfikiria siyeyeye.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe asinzia bungeni asubuhi hii

    jirani na kwenu bro
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe asinzia bungeni asubuhi hii

    kazi yangu hapa UDSM si ya kuchumia tumbo broo labda wewe na Ben wako asiyejitambua
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe asinzia bungeni asubuhi hii

    ukweli unauma sana.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe asinzia bungeni asubuhi hii

    na hiyo ndio shida ya Ukawa na ndio maana wameogopa kwenda kigoma wakamtuma katibu wa nccr
Back
Top Bottom