Recent content by Kifyatu

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 90% ya wanaume wa Tanzania, hatuvutiwi na wanawake wanaovaa mawigi

    Comrade, kwa hizi picha unatuonyesha [emoji830]nywele nachurali au [emoji830]maumbile (curvatures) nachurali? [emoji23][emoji23] In any case, asante. Najua ujumbe umewafikia wahusika.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Mimi nilianza kwa kutoipa uzito mkubwa siku nilipoandika haya maoni yangu. Lakini kila siku zinavyoendelea ndivyo ninavyoona kuwa dhana namba 5 ni logical sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Maswali mazuri sana. Nitajaribu kuyajibu. Majibu yangu ni DHANA (theories) tu kutokana na hisia zangu. Sio majibu ya Serikali, Polisi au vyombo vingine vya dola. Mimi sie msemaji wao. Samahani majibu yangu yatakuwa marefu kidogo. Hili swali ni zuri sana. Simjui aliewaondoa walinzi. Kama...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nakataa kabisa, hali sivyo kama inavyodaiwa

    Good day sir.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nakataa kabisa, hali sivyo kama inavyodaiwa

    Do you have something you want to tell me or you want me to read your mind? I don't read minds these days.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nakataa kabisa, hali sivyo kama inavyodaiwa

    Enough of this nonsense
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nakataa kabisa, hali sivyo kama inavyodaiwa

    What was your point telling me about BRN in the first place? I am not a mind reader. Maybe your friends my understand your cryptic messages. Not me. So, let's try this again. Why did you bring BRN in the first place? Simple question.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nakataa kabisa, hali sivyo kama inavyodaiwa

    Don't play games with me.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nakataa kabisa, hali sivyo kama inavyodaiwa

    Wewe unataka ideas au jina. Tunabadilishana mawazo hapa sio kutafuta mchumba. Picha hupati Jina ndio hilo. Ukilitaka kwa urefu naitwa YAHYA KIFYATU Napatikana pia twita kwa jina hilo.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nakataa kabisa, hali sivyo kama inavyodaiwa

    BNR ndio nini?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nakataa kabisa, hali sivyo kama inavyodaiwa

    Upinzani hauna sera mbadala kwa sasa. Kila kukicha wanarukia matukio ya serikali. Kwenye uchaguzi kwa nini wachaguliwe? Ili walete nini? Huu upinzani wa sasa unafaa kufa kabisa ili upinzani madhubuti uibuke. Tunahitaji upinzani mzuri. Hawa wa sasa malengo yao ni [emoji830]Kuingia ikulu...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nakataa kabisa, hali sivyo kama inavyodaiwa

    Mbio za sakafuni huishia kizingitini. Ifikapo 2020 ndio tutaona kama majority ya watu wanaichukia hii serikali. Mkuu tuombe uzima tu. Upinzani utaumbuka vibaya sana safari hii. Kuna vyama vitafunga ofisi.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nakataa kabisa, hali sivyo kama inavyodaiwa

    Mkuu sijui kwa nini unashangaa yanayosemwa huku mitandaoni. Sote tunajua wanaopiga kelele kwa sauti kubwa ni wale waliokuwa wanapata hela za serikali kiulaini. Hawa ni kama: [emoji830]TRA officers [emoji830]TPA officers [emoji830]Wapokea mishahara ya watumishi hewa [emoji830]Wauza ngada...
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kuhusu hawa wanawake wanaojifukiza udi?

    Nitarudi ili nitoe somo kamili. Lakini jua hili kwanza. Hamu ya chakula inaanza na [emoji830]Macho, yaani mvuto (rangi) wa chakula [emoji830]Pua, yaani harufu nzuri ya chakula [emoji830]Ulimi, yaani ladha ya chakula Vivyo hivyo kuhusu mapenzi, ashki na ngono. Kama hujanielewa, subiri. Ukikua...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kuipa Serikali jina la chama fulani ni sahihi?!

    Vyama vya kisiasa vinakuwa na ITIKADI zao na SERA zao. Kwa hiyo ni sahihi kujua ni chama gani kinachoiendesha nchi. Ni sahihi kabisa kusema hii ya sasa ni SERIKALI YA CCM. MFANO MDOGO Angalia Marekani. [emoji830]Ilipoendeshwa na Obama (Democratic Administration) dunia nzima (well, the P5+1)...
Back
Top Bottom