Vin24vin
Member
- Sep 2, 2014
- 75
- 69
Habari wana jamvi!
Kuna hili suala la kuipa Serikali jina la chama fulani huwa kimantiki na kitafsiri inanitatiza sana kwenye kung'amua maana yake, mathalani huu utaratibu wa baadhi ya watu wenye dhamana ya kuongea mbele za watu wanaposimama na kuiita Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kusema "serikali ya CCM", imekaa sawa hapo?!
Naomba kuwasilisha!