Recent content by kifutu

  1. kifutu

    Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Bado hamkomi tu mkuu na hii michezo?
  2. kifutu

    Bomoa Bomoa ya TANROADS Morogoro Road Dar Es Salaam

    Kama wapo wa aina hiyo ni wachache sana, jinsi tunavyofanya mambo yetu ni hovyo hovyo tu. Nyumba zinajengwa kama uyoga na ukifuatilia kwa undani hakuna hata mwenye kibali cha ujenzi. Ukiuziwa eneo, kesho unaanza msingi hata kujisumbua kidogo kuona mamlaka za eneo husika hatufanyi!! Tuna tatizo...
  3. kifutu

    Bomoa Bomoa ya TANROADS Morogoro Road Dar Es Salaam

    Naamini watakuwa wamekuelewa sana.
  4. kifutu

    Shule ya sifa: Shule ya Sekondari Milambo, Tabora

    [emoji2] mkuu hili jina la FUPA nadhani lilitokana na gari yake ile Toyota Stout, pick up kama Niko sahihi. Hebu kumbusha kidogo
  5. kifutu

    Vyoo 100 kujengwa barabara kuu ya Mwanza kwenda Dar es salaam kwa ajili ya abiria

    Na ni wakwepa kodi wazuri tu mkuu. Hawatoi hata risiti mpaka mdaiane
  6. kifutu

    PICHA: Gari namba T571 DGB imeibiwa Shoppers Plaza Tarehe 23/04/2016

    Mkuu naona kama umedandia gari kwa mbele? Hebu soma vizuri huu uzi[emoji15]
  7. kifutu

    Taarifa: Uhakiki wa vyeti vya kidato cha 4&6 kwa Walimu na Watumishi wa Umma

    Barua imeeleza wazi mkuu, kinachopelekwa mkoani ni softcopy ya majina ya watumishi wa eneo husika, pamoja na nakala za vyeti. Kwa hiyo mtumishi haitajiki kwenda. Hapo kama una cheti feki unapigwa juu kwa juu tu.
  8. kifutu

    MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

    [emoji2] [emoji2] siku hizi unavaa chupi? Au adhabu haikufanikiwa kukurekebisha mkuu!!
  9. kifutu

    Uharibifu wa viti zaidi ya 200 uwanja wa Taifa DSM wakati wa mchezo wa Yanga na Simba

    Acha kutetea ujinga mkuu, kwa hiyo kama Brazil wanauana ndio na sie tuuane? Unatumia nini kufikiri wewe ndugu[emoji51]
  10. kifutu

    Tecno wanakuletea phantom 6 inakuja na ram ya 6gb na 32gb rom

    Umenena vema sana mkuu, hujaweka ushabiki mbele. Na hiyo ndiyo hali halisi!
  11. kifutu

    MWANZA: Watu wakamatwa wakiwa wamejipumzisha kwenye bustani

    Kwa hiyo we unaifananisha Tanzania na China au Urusi? Wale walishajitambua siku nyingi wewe, wako dunia nyingine kabisa, nyie hamuendi hadi kwa viboko tu. Tena mlitakiwa mtandikwe mboko hapo hapo bustanini, hakuna mambo ya kupelekana mahabusu.
  12. kifutu

    MWANZA: Watu wakamatwa wakiwa wamejipumzisha kwenye bustani

    Tatizo ni watu wanaogeuza maeneo hayo kama vijiwe, wanapoteza kabisa maana ya maeneo husika
  13. kifutu

    MWANZA: Watu wakamatwa wakiwa wamejipumzisha kwenye bustani

    Kutoka nyumbani na kwenda kukaa na kushinda vijiweni/bustani huku ukitegemea kuishi kiujanja ujanja ndio umaskini wa fikra huo mkuu!! Hilo halikubaliki. Acha kutetea waovu! Hivyo ndio vijiwe vya matapeli Mwanza
  14. kifutu

    MWANZA: Watu wakamatwa wakiwa wamejipumzisha kwenye bustani

    Endelea kuzurula hapo na hao wenzio mtakamatwa sana tu, na bado
Back
Top Bottom