Tecno wanakuletea phantom 6 inakuja na ram ya 6gb na 32gb rom

Wasotutishe na Ram iwapo processor itakuwa mbovu....

Compare 1GB RAM ya iPhone na 1GB ya Samsung au hata Tecno...

iPhone inakuwa ipo njema so 6GB zao waangalie na Processor
Kisha 1GB ya Samsung Compare na 512MB ya Windows Phone
 
Wasotutishe na Ram iwapo processor itakuwa mbovu....

Compare 1GB RAM ya iPhone na 1GB ya Samsung au hata Tecno...

iPhone inakuwa ipo njema so 6GB zao waangalie na Processor

Kweli.

RAM ni mbwembwe za kuwakamata wajinga wasiojua ubora wa hardwares na software compatibility. Kuna iPhone zina 1.5 kama 5 lakini itaizidi nguvu hiyo RAM6.
 
Wote mlio comment hapa mmekaa kishabiki na sio kitaalam.
Hivi unaanzaje ku linganisha simu zenye OS ( operating system) tofauti.
Unaanze kulinganisha Android na Windows
IOS na Android?
Ushabiki pelekeni jukwaa la siasa hili jukwaa halihitaji siasa.
 
Haya pambanisha Samsung na Tecno ipi simu Quality? Tuanzie hapo kwanza
 
Inakeraaa....unanunua tecno mpya leo kwa laki nne baada ya wiki unasikia jirani yako kanunua kwa laki tatu na elfu ishirini....
 
Haya pambanisha Samsung na Tecno ipi simu Quality? Tuanzie hapo kwanza
Kaka hakuna haja ya kubishana kwasababu hao ni wafanyabiashara wanajua nini wanafanya, so si kila chenye nembo ya samsung ni bora na si kila chenye nembo ya tecno ni dhaifu. Ni dhana tu imejijenga katika akili za watu kuwa ukionekana umeshika simu yenye nembo ya samsung hapo ndio una simu, japo sijakataa kuwa samsung kwa tecno ipo juu lkn kila moja ina nafasi yake.
Zipo simu nyingi hazina majina lkn ni simu nzuri kuliko hata samsung.
Mimi simu nyingi sana zinapita kenye mikono yangu na zingine zina majina makubwa tu lakini ukiitumia utatamani uipige chini.
Leo hii Note 7 inatia watu hasara team samsung mpo kimyaa, huyo mwenye simu dhaifu still anapeta tu.
 
Na hakuna kitu kibaya katika maisha kama ukipenda sifa.
Utajiona kila unachofanya upo sahihi hatakama unakosea.
Kukosolewa kwa simu za tecno kunaifanya izidi kujiimarisha zaidi na kufanya maboresho kwenye simu zao kulingana na inavyo kosolewa.
 
Umenena vema sana mkuu, hujaweka ushabiki mbele. Na hiyo ndiyo hali halisi!
 
Mbona tecno wako poa hata mm before nlisema siwezi kununua tecno kwa kulishwa maneno tecno cm mbovu lakini sio kweli wapo poa ila nataka kuwashauli wapunguze kutoa matoleo mapya kila wakati ilikuja c8ikaja j8mara c9mara c7 now phantom6 wawe makini
 
RAM 2GB na ROM 256 sasa hao wana RAM 6gb ROM 32gb wap na wap??

Hahaha.

Sasa hapo ndipo utakapokuja kuona kampuni za simu zinavyochezea watu. Huwezi amini hiyo GB 6 ya RAM inazidiwa na 2GB.
 
Ndio maana nilitangulia kusema mwisho wasiku hawa ni wafanya biashara usipokuwa makini utabaki kushindana na matoleo ya simu wao wanapiga hela tu.
 
Na hakuna kitu kibaya katika maisha kama ukipenda sifa.
Utajiona kila unachofanya upo sahihi hatakama unakosea.
Kukosolewa kwa simu za tecno kunaifanya izidi kujiimarisha zaidi na kufanya maboresho kwenye simu zao kulingana na inavyo kosolewa.
Ndio maana tunakosoa ili wakae sawa kama wengine.

Hivi mna matoleo mangapi mpaka sasa, kwanini msiwekeze nguvu kufanya kitu kimoja kikaeleweka, maana ninachoona wako busy kubuni majina ya simu.
 
Ndio maana tunakosoa ili wakae sawa kama wengine.

Hivi mna matoleo mangapi mpaka sasa, kwanini msiwekeze nguvu kufanya kitu kimoja kikaeleweka maana ninachoona wako busy kubuni majina ya simu.
Hahahaaa naona umeamua kunijumuisha na mm humo, haya bana but mimi sipo huko na sijajua wanamatoleo mangapi hadi sasa.
Mimi nilijaribu kuondoa tu ushabiki watu warudi kwenye mada. Simaanishi kuwa naitetea tecno.
 
Wote mlio comment hapa mmekaa kishabiki na sio kitaalam.
Hivi unaanzaje ku linganisha simu zenye OS ( operating system) tofauti.
Unaanze kulinganisha Android na Windows
IOS na Android?
Ushabiki pelekeni jukwaa la siasa hili jukwaa halihitaji siasa.
Aliyeleta siasa nani?
Hizi simu japo ni OS tofauti but they have something in common ambacho ni functions tukiachilia mbali Brand...

Sasa ukisema tusilinganishe hizo aimu ulitaka tuanze kuipambanisha hiyo tecno phantom na tacno C...

Hehe acha ushabiki
 
Kwa mwendo huu ndio maana hili jukwaa kila iitwapo leo linapauka.
Miaka ya nyuma member walikuwa wanabishana kwa hoja lkn sasa hivi tabia za fb, mmu ndio zipo humu. Na ndio maana wengi tumekuwa wapita njia tu humu.
Sasa hivi imebaki kuchekiana PM na shida zina ishia huko.
 
Bado sijaona logic yako hapo...
Unataka kufa na Brand au?
 
Back
Top Bottom