Recent content by Kifuniko

  1. Kifuniko

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Mimi ni mjasiriamali mdogo nina mtaji wa sh . mil 5 natamani nianzishe mgahawa lakini sina uzoefu na hii biashara na sijui kama kiasi hiki kitatosha. Makusudio ni uwe mgahawa wa kuuza chakula, soft drinks na breakfast. Nipo jijini DSM maeneo ya mwenge. Naomba ushauri kwa wenye weledi wa hii...
  2. Kifuniko

    Pata ushauri, michango na mawazo ya ufugaji wa bata wa kienyeji kibiashara

    Shukrani mkuu nimekupata nimerekebisha , naomba maoni yako sasa
  3. Kifuniko

    Pata ushauri, michango na mawazo ya ufugaji wa bata wa kienyeji kibiashara

    Naombwa kujuzwa wana jamvi na kupewa darasa kuhusu elimu ya ufugaji bata 1. Wapo aina ngapi? 2. Wanalalia mayai kwa mwaka mara ngapi? 3. Soko halisi likoje kwa mfano kama naishi DSM 4. Vyakula wanavyokula kama nikitaka kuwafuga kibiashara 5. Je naweza kutotoleshea mayai yao kwa kutumia...
  4. Kifuniko

    Diploma in Arts and Foundation Design

    Naomba mwenye kufahamu chuo gani nchini Tanzania kinatoa hiyo kozi nina mjomba anataka kuisoma ila hatujui ni chuo gani. Asanteni
  5. Kifuniko

    Hususani kinamama au anyone wa jinsia ya kike

    Vipi kuhusu uaminifu maana binadamu na pesa bwana kipimo cha tabia
  6. Kifuniko

    Hususani kinamama au anyone wa jinsia ya kike

    Hukohuko ndio mbinu za kuchepuka zinajadiliwa
  7. Kifuniko

    Hususani kinamama au anyone wa jinsia ya kike

    kwanini uweke huko hadi mwisho wa mwaka siuweke bank kama uko serious na kusave kwani huyo mnaempa aweke kuna insurance au anaweza zama na kibubu chote
  8. Kifuniko

    Hususani kinamama au anyone wa jinsia ya kike

    Daah hiyo avatar yako hadi nimeogopa kukujibu usije rusha hiyo spana, wewe ndio utujulishe hiyo mikopo mnayopeana mbona majumbani hatuioni ikichangia maendeleo au inatumika vipi bila sisi kuona
  9. Kifuniko

    Hususani kinamama au anyone wa jinsia ya kike

    Hivi nashindwa kuelewa kila uendapo nchini kwenye mitaa utakuta kuna vyama vya kina mama utasikia tu mke kaaga naenda kikao tuna chama chetu cha kukopeshana lakini huwezi hata siku moja kuona kaja na burungutu. Hivi mbona kina baba hawana hivyo vyama na ndio wanaotegemewa kwenye familia. Au...
  10. Kifuniko

    Sakafu ya Tarazo

    Naomba kujuzwa kama kuna anaefahamu kampuni au mtu anaeweka floor ya tarazo either granite au mawe mengine. Shukrani Wenu katika ujenzi wa taifa Kifuniko
  11. Kifuniko

    Shule nzuri ya serikali kwa kinondoni

    Wadau naombeni anaejua ni shule gani nzuri ya primary kwa wilaya kinondoni ila iwe ya serikali nina mtoto anafikisha miaka 6 next year nataka ajiunge
  12. Kifuniko

    Mbao za slab

    wewe ofisi iko maeneo gani na bei zako zikoje let say mbao ya ft 12
  13. Kifuniko

    Mbao za slab

    Wadau nina shida na mbao kwa ajili ya kumimina slab ya kijighorofa changu coverage kama mita 10 kwa 15, mbao hizo nazihitaji mwezi wa tisa
  14. Kifuniko

    Girlfriend

    Natafuta Girlfriend wa kula nae maisha kama tukiivana tutahamia stage ya juu yake
  15. Kifuniko

    Sony xperia z

    kuna mtu kaniambia battery haikai na charge ni kweli Lisa?
Back
Top Bottom