Kweli mkuu hii simu ni nzuri sana, ila haikai na charge, battery yake inaisha haraka zaidi ukicompare na simu nyingine za mwaka huu kama htc one na galaxy s4. Hata ukipitia reviews na comments mbalimbali za watumiaji, tatizo la hii simu ni charge
asa hlo co tatzo la xperia 2,mbn smartphone nyng znaisha chaji fasta?mfano samsung galaxy almsot zote zna matatizo hayo.Kwa hizi cm mpya za tecno wamejitahd katka betri!!
xperia z tayari ina system update tatu. unainunua ikiwa kwenye android 4.1 jb. ukiiweka kwenye latest 4.2 jelly bean tatizo la betri litapungua. pia nenda kwenye settings na click stamina mode
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.