Recent content by Kifuna

  1. K

    JamiiForums Tanzania Dumuzi aendelea kukitafuna Chama cha Walimu Tanzania

    Tunakushukuru umeandika vizuri sana na lazima utakuwa Mwalimu wa kiswahili maana ulivyozipanga hoja inatakiwa aje mwalimu mwingine kuzipangua. Lakini kwa sisi ambao sio waalimu lazima tuguseguse baadhi ya maeneo tu. Nimekuwa na maswali kadhaa kama ifuatavyo. 1.Waalimu ndio mnaotufundisha kila...
  2. K

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ulaji wa Ugali husababisha udumavu wa akili

    Unapokataza kula ugali tuambie pambio lingine la mlo tule nini!! Vinginevyo unatudanganya.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu anapenda mapenzi kila dakika na ni mke tutatoboa kweli?

    Umejitahidi kutunga hii hadithi ni nzuri na inasisimua sana ila mwisho hujamalizia vizuri ili tujue ana mimba huyo anaependa mambo matamu kila siku? kama anayo hoja zetu zitakuwa tofauti iwapo atakuwa si mjamzito. lakini katika yote hayo tupo duniani kutoshelezana kupenda mambo hayo kisukumbue...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mlio oa au kudate na wanawake wa kimachame njoeni hapa tufarijiane ndugu zangu

    Wanaume wanakufa mapema sababu ni watoaji na wanawake wanachelewa kufa sababu ni wapokeaji pia wanaume wengi wana siri nyingi sana vifuani mwao wakati wanawake wengi hawaweki siri yoyote kifuani mwake. wanaume wengi hubeba mambo mengi sana wakati wanawake wengi hawabebi jambo lolote zaidi ya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani inaweza ingiza atleast faida ya TZS 5M kama nikiwekeza TZS 30M?

    Unajua Matajiri woote Dunani walitatua shida za watu, kwa hiyo na wewe unaweza kutoka kwa kutatua shida za watu. Mfano watu wana njaa unawauzia chakula, watu wanatembea uchi unawauzia mavazi,watu wanashida ya mbolea unawauzia hitaji lao. Sasa kuhusu 30m kupata faida ya 5m inategemea uko wapi na...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nimeshaoa, naombeni nifahamu mambo ninayotakiwa kufanya na kutofanya kwa mke

    1)Jitahidi sana asijue kipato chako hata kwa bahati mbaya. 2)Uwe na msimamo mkali hata kama msimamo huo unakughalimu. 3)Usile chakula alichopika Beki tatu maana ukila tu ujue ipo siku utamla na yeye. 4)Fanya dhambi zozote zile lkn uzijue wewe na Mungu wako tu Mke asijue hata kidogo.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa na Uhusiano na Jini, leo nimemkataa mazima

    Huyo hujamuacha subiri miezi mitatu ikipita njoo utuambie!!! Tutakuelewa!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kufunga ndoa na mwanamke aliyenizidi miaka 8?

    Rais wa Ufaransa alimuoa Mwalimu wake wa Hesabu alipokuwa Sekondari. Mapenzi yana nguvu sana na mapenzi yana sababu nzito kwa mtazamo wa yule anayependa. mfano wewe unaweza kutoa sababu kuwa anajua sana kulea. Atamlea mwanao atakulea na wewe pia.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini tunaoa?

    Siku nyingine ukiuliza swali usitoe majibu. Uliza swali tulia tukujibu. Kunazo sababu tatu za kuoa. 1. Ni agizo. Tumeagizwa hivyo na Mungu. Kila Dini imeagiza hivyo. 2. Kutoshelezana. Kila Dini inakataza zinaa. Mkioana mtatoshelezana. 3. Kuzaa Ili kuendeleza ukoo. Usipozaa ukoo unaishia kwako.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Siasa zilizokataliwa na Edward Lowassa zimeharibu brand ya CHADEMA

    Hivi unaongea nini!! Unajua lila na fila havitengamani!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais, Nakuomba tafadhali 2020 mchague Aggrey Mwanri kuwa Waziri Mkuu

    Nani kakwambia hujafanya kosa? subiri wanasheria waje utaona kosa liko wapi!!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Magufuli ashuhudia Utiaji Saini kati ya Serikali na BHART Airtel. Airtel kutoa bilioni 1 kila mwezi kwa miaka 5 kusaidia huduma za jamii

    Najitahidi kuelewa lakini naona nyota! nyota! Kuna mwenye lugha nyepesi zaidi?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Msaada maswali ya interview utumishi kwa kada ya personal secretary

    Wanasema Tunaomba historia yako hilo la kwanza Tunaomba hobe yako hilo la pili Tunaomba tujue uzoefu wako ktk kazi unavyoomba hillo tatu Na mengine mengi tu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Sioni kosa la Malasusa, labda naona tamaa ya rushwa ndani ya Maaskofu waliobaki

    Watakuja wanaojua kujibu watakujibu utawaelewa lakini mimi naliona kosa la Malasusa katika jambo moja tu nalo ni UWAJIBIKAJI WA PAMOJA! Ukishakuwa kiongozi utafanya mambo unayoyapenda na usiyoyapenda! Kosa lipo hapo!!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Yamenikuta

    Kuna mtu anaefungisha ndoa zilizoshindikana ana cheo cha 'DC' hakuna cha biblia wala qur an mtashika katiba ya Nchi.
Back
Top Bottom