Recent content by Kifarutz

  1. K

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda japo wana maji wanataka kujenga mtambo wa nyuklia, sie tunaenda kwenye maji na tuna gesi na uranium

    Sisi ngoja kwanza tuwekeze pale Stiglers gorge tuwe tunavuna MW 2,100. Ni umeme mwingi sana huo. In year 3000 ndo tufikirie umeme wa nyuklia
  2. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Magufuli imepoteza TZS 1.5 trilioni mwaka 2016/17. Imetumia Mabilioni kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa

    Kwa kile kidemu kilicho mafichoni USA kinasemaje? Kila hakikosi kujua mzigo ulipo
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kanuni za Fedha

    First principle: Never lose money. Second principle: Don't forget principle number one
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais wetu anazindua ukuta wa Mirerani, Kazi za mawaziri ni nini? Kwani kuzindua ni lazima?

    Mawaziri watazindua vyerehani. Acheni kumuonea wivu rais wetu mpendwa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA wakiwa kwenye kikao cha dharura kinachoendelea muda huu katika ofisi za Umoja wa Ulaya (EU)

    Mbona wanacheleweshwa hao. Wanatakiwa wafanywe kitu mbaya hapo hapo EU ili liwe fundisho kwa wengine
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tunakopesha pesa dhamana gari na kadi yake

    Subiria mbulula wasiojua how money works watakuja. Wakamue hadi akili ziwakae sawa...!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo wa milioni 100

    Siyo vizuri kumfanyia mwenzako ujambazi. Kwa masharti hayo dhamana yake inakwenda na maji na sumu itamhusu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Polisi wakana kumuua kijana Mbeya, waunda kamati kuchuguza, yaani wanaunda kamati kujichunguza

    Tuwe na imani na jeshi letu la police.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Majuto ni mjukuu: Jokate anajuta kuifahamu CCM

    Wameishakala kote kote na hakana ladha tena. Kanajuta now
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa kikosi hiki, sitoshangaa Argentina wakitwaa ndoo mchana kweupee...

    Acha kuota donto za Abunuasi. Kombe ni Brazil au Spain
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna lugha za kibantu ziko so romantic, so sexy, ya kwako je?

    Kisukuma cha Chato ndo funga kazi!! Muulizeni Angela Kairuki
  12. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki si kwa lengo la mapenzi

    Nipo hapa nina vigezo vyote ulivyotaja
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaniacha ila kila mara ananitumia texts na kunipigia simu

    Kula papuchi with no future expectations, tena unakula hadI ule mtadao pendwa ili kumkomoa.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Arusha, Ngaramtoni: Nahitaji mpangaji, napangisha nyumba kubwa, ni self ya vyumba vitatu

    Mkuu kula 250 per month
Back
Top Bottom