Uganda japo wana maji wanataka kujenga mtambo wa nyuklia, sie tunaenda kwenye maji na tuna gesi na uranium

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
China imetangaza kuwa itaisaidia Uganda katika mpango wake wa kuzalisha umeme kwa kutumia Nishati ya Nyuklia.

Uganda tayari imewapeleka masomoni raia wake 15 kwa ajili ya kujifunza masuala ya Nyuklia.

Uganda ina madini ya Urani ambayo ni malighafi ya kuzalisha nyuklia.
 
Sisi ngoja kwanza tuwekeze pale Stiglers gorge tuwe tunavuna MW 2,100. Ni umeme mwingi sana huo. In year 3000 ndo tufikirie umeme wa nyuklia
 
Umaskini wa mtu hautokani na ukosefu wa fedha au rasilimali bali ni ukosefu wa fikra /kufikiri sahihi.
 
Back
Top Bottom