Recent content by kiface

  1. K

    natafuta bidhaa hizi

    Blue band imebadilika mpaka ladha...blue band ya zamani bwana yaani acha tuu,kweli cha kale dhahabu
  2. K

    Kwa wanaopenda kuweka password katika simu zao

    Mimi nimefikiria pafupi, nashukuru we we umefikiria parefu, je, name wanao save majina ya watu wao kwenye simu je? Alafu thread yangu haina hoja saws nakubali, lakini nashukuru umechangia.
  3. K

    Kwa wanaopenda kuweka password katika simu zao

    Habari wanajamvi, Leo nimekaa nikawa natafakari kwa watu wanaopenda kuweka password katika simu zao, Je! Faida yake ni nini na hasara yake nini, Je! Kuna ulazima wa kufanya hivyo?...mimi naanza na hasara, kwa mfano: umedondoka ghafla au umepata ajali hujitambui, wasamaria wanajitolea kukusaidia...
  4. K

    Picha: Martin, Aunty wazua utata ukumbini

    Kuna watu wanapenda kuchorwa kwenye magezeti jamani khaaa! Wanatafuta kila namna ili mradi tu
  5. K

    Kesi: Baba ambaka Mwanae, Aliyebakwa atokewa na Kanumba, Ngwea

    Kwa jinsi nilivyomuelewa mimi ni kuwa baba mlezi wa Neema ambaye ameshtakiwa kwa kosa la kumbaka Neema hajatendewa haki, kwanza ameeleza kuwa Neema alikuwa hatulia(mapepe) kumbuka amesema kuwa alishawahi kubakwa na baba yake mzazi hapo awali, kisha hakuna hatua zozote zilizochukuliwa huku...
  6. K

    Mama ni dhahabu ukimkosa utapata shida; ahimidiwe mfariji wetu Mungu wa mbinguni

    Pumzika kwa amani mama yangu kipenzi, uliniacha nikiwa nina miaka mitatu 1986 baada ya kutengana na baba hatukuweza kuonana tena mpaka nilipofika miaka kumi na tatu ndipo niliposikia umefariki 1996 najisikia uchungu kwani sikuonja mapenzi yako...pamoja na hayo nimetambua thamani yako kwani...
  7. K

    Jinsi ya kupika uji wa lishe bila kuunguza

    Habari wa jfchef, naomba msaada kwa mwenye utaalamu wowote wa kukoroga uji wa lishe bila kuungua, maans kila nigorogapo lazima niunguze Asanteni
  8. K

    weraa weraaa

    Wooow ni bi harusi na bwana harusi. Nimeipenda kwa kweli
  9. K

    Vituko jikoni, Let us share and have fun

    Kuna siku nipo jikoni napika choroko, nimekamua tui langu la kwanza na la pili nikaweka kwenye bakuli juu ya meza fupifupi hivi...wakati naendelea kupika mtoto wangu wa miaka miwili akaja kumbe kamebeba mchanga mkononi huku kanaita mama,mama mimi niko busy nakaangiza sasa ile nigeuke sasa ili...
  10. K

    Lazima upate kinyaaa!

    Mmmmh kwa style ya uandishi wako kweli nimepata kinyaa?
  11. K

    Ubongo wenye chuki

    asante mkuu, najitahidi sana kuwapuuza huku nikipambana haswaa.
  12. K

    Ubongo wenye chuki

    Mama yangu mzazi alishafariki miaka 18 iliyopita lakini kuna watu wanamzungumzia vibaya mpaka leo,watoto wake tunavyoyasikia tunajisikia uchungu sana, kuna dadaangu siku moja alipika chakula kibichi chaajabu aliambiwa hicho ni kilema kutoka kwa mamaako dadaangu alilia sana, siku nyingine...
Back
Top Bottom