Kwa wanaopenda kuweka password katika simu zao

Kwa wanaopenda kuweka password katika simu zao

kiface

Senior Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
151
Reaction score
61
Habari wanajamvi, Leo nimekaa nikawa natafakari kwa watu wanaopenda kuweka password katika simu zao, Je! Faida yake ni nini na hasara yake nini, Je! Kuna ulazima wa kufanya hivyo?...mimi naanza na hasara, kwa mfano: umedondoka ghafla au umepata ajali hujitambui, wasamaria wanajitolea kukusaidia lkn katika harakati za kukusaidia wanachukua simu yako ili kujulisha ndugu na jamaa kwa yalio kukuta wanakuta simu imepigwa lock na wewe ndio hujitambui, karibuni tujadili.
 
simu yangu haina password hata moja
 
Habari wanajamvi, Leo nimekaa nikawa natafakari kwa watu wanaopenda kuweka password katika simu zao je, faida yake ni nini na hasara yake nini, je kuna ulazima wa kufanya hivyo?...mimi naanza na hasara, kwa mfano: umedondoka ghafla au umepata ajali hujitambui, wasamaria wanajitolea kukusaidia lkn katika harakati za kukusaidia wanachukua simu yako ili kujulisha ndugu na jamaa kwa yalio kukuta wanakuta simu imepigwa lock na wewe ndio hujitambui, karibuni tujadili.

Easy sana una toa line ina wekwa kwenye simu nyingine tu lazima majina ya muhimu yawepo kwenye line.ova!
 
Ingekua hizo facilities za kuweka password wanajitengenezea watumiaji basi hoja yako ingekua na mashiko

Lakini kama watengenezaji wa hizo simu waliona umuhimu wa kuwezesha simu ziwe na passwords, naamini faida ni nyingi kuliko hasara.

Umefikiria hasara upande wa ajali tu...kumbuka simu siku hizi ndio kila kitu kinatuzwa humo zikiwemo details za benki na mambo mengine lukuki... ikipotea au kuibiwa na watu wakaitumia kufanya uharifu hata kusababisha vifo...huoni hiyo ni hatari zaidi ya kupata ajari?? maana atakaye kutwa na ngozi ni wewe mmiliki..unatokaje hapo kwy kitanzi??

Kama utapenda utafiti zaidi...usisubiri mijadala hapa jf...nenda google kaulize faida na hasara za hiyo pswd kwy simu ni zipi na kipi muhimu kuwepo.... tafiti za kutosha ziliisha fanyika utasoma mpaka upofuke macho mwenyewe.

Nafikiri ungeshangaa wale wanaosikiliza simu kwa kutumia nyuma ya sehemu iliyowekwa kwa kusikilizia...nadhani hapo ndio matumizi ya ajabu tofauti na matarajio ya walioitengeneza hiyo simu.
 
Nimechunguza na nimegundua wengi wanaweka password kwa kuogopa wati wasjpekue cm zao, mostly kwa wapenzi na wanandoa. Michepuko kibwena💣
 
Kuna huyo jamaa yangu mmoja, asiguse simu, atapekua mpaka sms na vyumba vyote either anakufahamu or ndo first time mmefahamiana ili mradi tu kitokee kisababu cha kushika simu. Watu kama hawa ni tatizo
 
Khaaaaaaqa

Hamjawahi kumpiga ngumi za chembe

Umbeya gani huo


Kuna huyo jamaa yangu mmoja, asiguse simu, atapekua mpaka sms na vyumba vyote either anakufahamu or ndo first time mmefahamiana ili mradi tu kitokee kisababu cha kushika simu. Watu kama hawa ni tatizo
 
Tatizo 98%ya wanaoweka password ni kwa ajiri wizi wa mapenzi.ujinga kabisa.
 
Watu wanaweza kuweka password kwa sababu nyingi tu, si kwa sababu ya mpenzi, mke tu. Kuna taarifa mhimu za ofisi unaweza weka ambazo haitakiwi mtu mwingine azione kwa kuwa hazimhusu n.k.hata hivyo mi nina simu mbili moja ina password na nyingine haina password, kwa hiyo wasamalia wanaweza tumia isio na password.
 
....nilikuwa siwek password ila nw nmeweka..
juz kat mshkaj kazn kasahau simu kwenye supu...afu n simu kuna detailz nying including za kiofis...mhudumu kapitanayo...kahangaika kaishindwa ile jamaa kurud kapewa simu yake....
 
Nimeweka password na watu wote ninaishi nao wanaijua. Hii ni kwa usalama wa wezi tu, akiiba basi hana ujanja wa kuifungua zaid ya kuitupa tu!
 
Back
Top Bottom