Habari wanajamvi, Leo nimekaa nikawa natafakari kwa watu wanaopenda kuweka password katika simu zao, Je! Faida yake ni nini na hasara yake nini, Je! Kuna ulazima wa kufanya hivyo?...mimi naanza na hasara, kwa mfano: umedondoka ghafla au umepata ajali hujitambui, wasamaria wanajitolea kukusaidia lkn katika harakati za kukusaidia wanachukua simu yako ili kujulisha ndugu na jamaa kwa yalio kukuta wanakuta simu imepigwa lock na wewe ndio hujitambui, karibuni tujadili.
Password unaweka ukiwa sehemu unayodhani hakuna usalama wa sim yako au taarifa zilizopo Kwenye sim, mfano kuna watu wanakuomba sim ili kuiona tu halafu unakuta wanaingia inbox au kwenye gallery kuangalia mambo yako binafsi.
Ni kweli mkuu huenda bado hujaoa
Easy sana una toa line ina wekwa kwenye simu nyingine tu lazima majina ya muhimu yawepo kwenye line.ova!
Nimeweka password na watu wote ninaishi nao wanaijua. Hii ni kwa usalama wa wezi tu, akiiba basi hana ujanja wa kuifungua zaid ya kuitupa tu!
Habari wanajamvi, Leo nimekaa nikawa natafakari kwa watu wanaopenda kuweka password katika simu zao, Je! Faida yake ni nini na hasara yake nini, Je! Kuna ulazima wa kufanya hivyo?...mimi naanza na hasara, kwa mfano: umedondoka ghafla au umepata ajali hujitambui, wasamaria wanajitolea kukusaidia lkn katika harakati za kukusaidia wanachukua simu yako ili kujulisha ndugu na jamaa kwa yalio kukuta wanakuta simu imepigwa lock na wewe ndio hujitambui, karibuni tujadili.
Kuna huyo jamaa yangu mmoja, asiguse simu, atapekua mpaka sms na vyumba vyote either anakufahamu or ndo first time mmefahamiana ili mradi tu kitokee kisababu cha kushika simu. Watu kama hawa ni tatizo
Easy sana una toa line ina wekwa kwenye simu nyingine tu lazima majina ya muhimu yawepo kwenye line.ova!
Mkuu umefikria pafupi sana! Yaani Wewe unaona ukiwa umeweka password ndo watu watashindwa kuwapigia jamaa zako kama umezimia? Wala ihujashughulisha akili yako kuona njia mbadala zilizopo? Huwezi kufikria habari ya kuhamishia SIM Card kwenye simu nyingine? Huna hoja kuhusu password!!
Easy sana una toa line ina wekwa kwenye simu nyingine tu lazima majina ya muhimu yawepo kwenye line.ova!
Mkuu umefikria pafupi sana! Yaani Wewe unaona ukiwa umeweka password ndo watu watashindwa kuwapigia jamaa zako kama umezimia? Wala hujashughulisha akili yako kuona njia mbadala zilizopo? Huwezi kufikria habari ya kuhamishia SIM Card kwenye simu nyingine? Huna hoja kuhusu password!!