mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,495
kila ukinitajia nilikotoka ndio nafurahi kwa sababu watu watajua jinsi nlivojasiri
Mama yangu mzazi alishafariki miaka 18 iliyopita lakini kuna watu wanamzungumzia vibaya mpaka leo,watoto wake tunavyoyasikia tunajisikia uchungu sana, kuna dadaangu siku moja alipika chakula kibichi chaajabu aliambiwa hicho ni kilema kutoka kwa mamaako dadaangu alilia sana, siku nyingine dadaangu huyohuyo sikumbuki sana kosa alilofanya lkn aliambiwa utakuja kufa kama mama yako daah aisee hii dunia ina mengi sana.
Pole sana mkuu.
Waweke kwenye "ignore list".
Usipoteze muda kwa kumchukia mtu kwasababu maisha ni mafupi sana.
Furahia maisha yako. You Only Live Once (YOLO). Hata kama kuna maisha mengine huko Mbinguni lakini haitakuwa hapa Dar Es Salaam, Tanzania.