Hata vitabu vitakatifu vinasema watoto uwapatao ukiwa kijana ni kama vile mishale imsaidiayo askari akiwa vitani...no matter what! Either you are poor or rich
Nasikitika sana vijana wasomi wa kitanzania ambao wanajadili udini na chuki dhidi ya serikali iliyo madarakani....ninachokiamini mm Raisi huwa anachagua wale watu wake wa karibu na waliosoma ili wasije kumwangusha na ili awe na support lazima aweke watu ambao anaamini hawatamsaliti,,,,madai juu...
Eti duru zinasema zipi izo duru...hata wewe ukiibiwa kitu chako cha muhimu lazima utaanza kumhisi mbaya wako...japo yaweza kuwa sio kweli...tupe ushaidi wa hizo duru zinazodai hivyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.