Dar: Mwanadada ayagonga kwa gari majambazi 4 yaliyompora fedha kwa bunduki ya SMG

Hongera dada!!!! Ila kauli ya Kamanda Sirro imenifanya nijiulize mashali mengi! Kauli ya kusema angewagonga awauwe kabisa....hii si kuchukuwa sheria mkononi
Sasa majambaz tena wenye silaha umefikiri ni ndgu zako? Hujafa hujaumbika. Yakikupata ndo utamwelewa siro
 
Wangekufa baada ya kugongwa,bila shaka Bisimba angetoa taarifa ya kumlaani huyo sister kwamba kwa nini hakuwapeleka mahakamani.

Hivi SMG siku hizi zinaagizwa kwa eBay?
 
Si ajabu watu walikuepo na walikua wanaangalia huyu dada akihangaika mwenyewe.
.nimeshawahi kupambana mwenyewe na wezi huku watu wanapita bila msaada hapo Dar...wanaume ndio waoga zaidi...
 
Hongera dada .. We hela umezipata kwa tabu.. Bae kakushughulisha weeeee alf watu wajechukua kimaandazi maandaz tu....

Duh, huyu dada ni kiboko...lakini yule shangazi wa haki za binadamu lazima atalaani kitendo hiki...huu ni ukiukaji wa haki za binadamu, majambazi yalitakiwa yagongwe taratibu (siyo kwa haraka) ili yapelekwe kwenye vyombo vya haki kwa maana ya mahakamani...tutajuaje ikiwa yalikuwa majambazi hayo...tehtehtehteh...inawezekana hao watu wamesingiziwa tu na wamekimbia tu umati wa watu kuogopa kuchomwa moto...tehtehteh...hakuna uthibitisho kama silaha hizo ni za majambazi...tehtehteh...haki za binadamu wachukue hatua haraka kulaani tabia ya watu kugonga hovyo wenzao....tehtehtehje ....
 
aisee hao jamaa co wa kuwachekea hata kidogo... Huyo anaesema ati haki za binaadam hajawwhi kukutana na hizo show za majambazi
 
Majambazi wapatao 4 maeneo ya Buguruni Malapa yakiwa na bodaboda yalimvamia dada na kumtaka atoe fedha dada akaambia hataki purukushani na kuwafungulia wachukue fedha,
dada akaingia kenye gari na majambazi wakachukua fedha kiasi cha 420,000, baada ya kuchukua wakaondoka na bodaboda zao kisha dada akawasha gari na kuwagonga
baada ya kugongwa wakaruka kwenye pikipiki wakaacha silaha aina ya SMG na wananchi walijaribu kuwakimbiza lakini hawakufanikiwa

Yaani amewagonga halafu wakaacha silaha halafu wakatokomea na hizo hela?
 
Back
Top Bottom