Salaam,
Nimekaa nikatafakari kwa kina na uzoefu nilionao wa miaka thelathin kwenye eneo la mahusiano nikagundua yafuatayo ndo sababu kuu za wadada kuachika au kutoolewa: kujifanya matawi sana, kupend makuu,kutokujal upande wa wakwe,kujifanya mjuaji,muongo, mwizi, kutoa penzi kirahsi, kutokua na...