Nipo kwenye giza, nikimuomba tuwe wachumba ananizungusha

KIDHEHA

Member
May 21, 2012
51
14
Kuna mdada nampenda sana ila kila nikimuomba akubali kuwa mchumba wangu nije kumuoa ananizungusha tu.

Hakubali wala kukataa anasema nimpe mda atafakari huu mwaka wa pili ananiambia bado hajapata muda.Ananipenda kweli au nihamie kwingine?
 
washa mshumaa utoke kwenye giza[jokes]

Mkuu huyo itakuwa anajamaa si bure miaka miwili.
Kubali matokeo tu mkuu
 
Aache umakinikiaaa uyoo na we mvumilivu Sana miaka yotee io unasubiri hauna kazi ya kufanya
Em katafute hela Kama haunaaa nadhan ndo anasubirii icho

sent from my desktop computer
 
Kuna mdada nampenda sana ila kila nikimuomba akubali kuwa mchumba wangu nije kumuoa ananizungusha tu...Hakubali wala kukataa anasema nimpe mda atafakari...huu mwaka wa pili ananiambia bado hajapata muda...Ananipenda kweli au nihamie kwingine?
Hamia kwingine
 
Hahahahaha Mkuu unaonekana hujui kutongoza kabisa
Hv unaanzaje kwa trick ya kutaka kumuoa mtu hata hamjawa wapenzi hujui tabia yake wala hujui anapenda nini,,,, akikusumbua baada ya ndoa utarudi Tena hapa

We kama una uwezo wa kuoa Tafuta mtu mwingine kwa style nyingine au huyo Dada muendee kwa style nyingine na sio unaanza tu "nataka nikuoe" utajipa mtihani na ukazeeka kabla ya umri wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom