Recent content by kidete

  1. K

    Kura ya Hapana yazidi kupaa CHADEMA , Humphrey Polepole, Prof. Lwaitama na Askofu

    samaki akioza mmoja katika kapu,analeta uvundo hata kwa wengine,ndiyo maana inasemwa hivi samaki mmoja akioza wote wameoza.kula ya hapana ni sahihi kabisa kwa vifungu vyote ni sahihi kabisa.
  2. K

    CCM yamzidi Kete Warioba!

    Mimi kwa hili nakubaliana nalo 100% kwani nilimsikia Warioba anapowasilisha rasimu kwa rais na pia akihutubia bunge,alisema nchi washirika watakuwa na uwezo wa kufanya maamuzi katika katiba zao,kama kujiunga pia na mashirika mbalimbali,akataja mpaka na mahakama ya kadhi.Mimi nilimsikia,sifahamu...
  3. K

    Bungeni sasa duuuuu! Matusi tu mabadiliko sioni mbona

    Jamaniii,,,, toka juzi wabunge wanaotoka UKAWA wasusie bunge la katiba kukimbia fedhea ya matusi,nilidhani sasa majadiliano yangekuwa safi.Sasa hawa waliobaki wanaendelea kutukana,hii inatoa picha gani! Hawana upinzani mle ndani,nilitegemea watulie wajenge hoja watupe katiba.Sasa sipati picha...
  4. K

    Picha/Video: Magari yanayotumiwa na Polisi wa Dubai kwenye doria ni Lamborgini, Ferrari ,Aston Marti

    Hawauzi mafuta hawa,,,hawataki kuuza mafuta,wanachimba kwa matumizi yao tu basi.Biashara tu,wamefanikiwa sana kutengeneza Dubai iwe ya kibiashara na kitalii.Ni hili tu basi,siyo mafuta.Hawalimi,hawana viwanda hawa.Wazawa wanawaza kila siku wafanye starehee gani.Wanastahili pongezi kwa...
  5. K

    Huyu ndiyo Zitto ninayemjua

    Serikali tatu huyu anataka,kasema kufuatia hotuba yake.Hotuba yake imelenga serikali tatu.Nimemsikia,,,,bado hawajamalizana na maccm.
  6. K

    Hotuba ipi imekusisimua?

    Hao wote wametoa ufafanuzi mzuri,nawengine ni JUMA DUNI,,,MTIKILA kwa dakika mbili tu,amejibu vema swali alilotupiwa Tundu.Kiukweli serikali mbili hazina mashiko,ila tutaenda nazo kwa ubabe tu,,,ukombozi hautapatikana sasa,mpaka maccm yaache mabavu inchi siyo yao pekee
  7. K

    Nataka kwenda Dubai, ni bei gani kufika?

    Maelezo yote ni sawa! But usijaribu kwenda January Dubai kuna sikukuu zao wanaita dubai festival.Hoteli ni ghalama sana,kwani watu wengi wanakula raha tu.Mimi nilishuka pale tar 28.jan 2014,usiku na emirates,nilipata chumba saa 7usiku kwa dolla 136.2 kwa siku.Nilikaa siku tatu.Kulikuwa na...
  8. K

    Nimepata ajira au utapeli?

    Usijalibu hata kuwajibu chochote,wana maneno mazuri sana mdomoni na hawachoki kuongea Wezi hao tena walioenda shule.Mimi nina email zao zaidi ya 100.Na nimepigiwa simu zaidi ya mara 10 hivi.Usipoteze muda wako. Rafiki yangu mmoja alishalia.Usijalibu
  9. K

    Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    Nakubaliana kabisa na wewe! big up mkuu! Nimeona watu wengine wanakejeri mawazo haya.Kwa kweli vumilia mkuu, hii ndo hali halisi ya maisha yetu.Nina imani kabisa kwamba huyu(anayekejeri),akikuta hata umeanguka hawezi hata kukusaidia uamke.Usikate tamaa endelea mkuu kufanya utafiti wa mambo...
  10. K

    MUHIMU: Tuma maoni yako ya Rasimu ya Katiba Mpya, Mabaraza ya CHADEMA

    kamanda usihofu,hawatakuwepo hawa, wametumaliza vya kutosha
  11. K

    The Ponda Syndrome:- Kama Officially Sio Taifa La Wanafiki Basi We are Almost There!!

    1.Andika kiswahili au kiingereza ili ueleweke vizuri na ulingane na hadhi ya kofia uliyoivaa. 2.Leo kwa ponda,na kesho kwako. Cha maana hapo ndugu yangu,sheria za nchi yetu zifuatwe,na kumbuka pia mahakama zipo ndipo hukumu inapotolewa,na siyo risasi.Wakimaliza huku watakuja kwako,usiwachekee...
  12. K

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Duuu!! Is this Tanzania? Siwaungi mkono wale waliofanya uharifu huu kwa mabinti hawa wa uingereza na maswala mengine ya uharifu hapa nchini. Sipendi kabisaa! Viongozi wetu kama wapo, watuonyeshe kwa vitendo, vitendo si vya kuamka na kuanza kupiga marisasi tu watu, bali wafuate sheria na...
  13. K

    List ya wanawake kumi wanaoshika vyeo vikubwa bongo

    wamefanya nini hawa cha maana ikulu?? Wameharibu ikulu hawa! Labda huyo mwingine umeona sifa yake ya kuingiza steratour bear enzi zetu...!
  14. K

    Iringa: Meya asalimu amri,aruhusu machinga waendelee kuuza machine tatu

    amekanusha leo,kuwa aliripotiwa vibaya.siku nzima vituo vya radio vinatoa tangazo lake kuwa hajaamua hivyo.bali kikao cha kupitia maombi ya wamachinga ama waende barabara mbili au mwembetogwa,kitafanyika tar.28-05-2013.na kwa sasa amesisitiza mnada ufanyike mlandege. Lakini wamachinga wameweka...
  15. K

    VIDEO-Mh.Mchungaji Msigwa aachiwa huru,Apokelewa kama shujaa

    Kamanda;Tumia vlc,,,Alibebwa mpaka mlandege kama unaijua iringa vizuri,yapata kilomita 5 hivi.Wananchi wakipokezana.
Back
Top Bottom