Bungeni sasa duuuuu! Matusi tu mabadiliko sioni mbona

Bungeni sasa duuuuu! Matusi tu mabadiliko sioni mbona

kidete

Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
19
Reaction score
8
Jamaniii,,,, toka juzi wabunge wanaotoka UKAWA wasusie bunge la katiba kukimbia fedhea ya matusi,nilidhani sasa majadiliano yangekuwa safi.Sasa hawa waliobaki wanaendelea kutukana,hii inatoa picha gani! Hawana upinzani mle ndani,nilitegemea watulie wajenge hoja watupe katiba.Sasa sipati picha watapigia kura nini,matusi na dharau kwa wenzao ambao hawapo bungeni ndiyo yatakayoandikwa na kupigiwa kura? SIPENDI,SINA HAMU YA KUSIKILIZA BUNGE TENA.HAKUNA JIPYA,ZAIDI YA MATUSI TU,NA WAZIRI MKUU YUPO HAPOHAPO.HOJA HAKUNA.AU NDO YALE ALIYOYASEMA KAKOBE YANATIMIA?
 
Back
Top Bottom