Aaaminiwe na CHADEMA?
Asante mkuu kwa kunijuza kwani sikuona wakitaja mwakilishi wakeZitto yupo..
Chagadema wanahangaika sana
hajasema yuko upande gani,,
msafi si mbowe na video zake za xxxxZitto sio msafi sana ni kama tu wewe na mimi. Ila utaratibu wake na arguments zake ni za kiwango cha juu