Weston Songoro
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,793
- 1,083
mimi nnachokiona n hv,
ccm wanatafta kuja za ndyo, nahc watafanya mchezo mchafu, km huu, Wanavyokwenda kwa wananchi wanatoa ya Warioba, wananchi wanapga ndyooo,
zen kwenye majumuisho watasema katiba ya Chenge + 6 ndyo ilipgiwa ndyo, so itapitishwa hyohyo, hawa watu wanawezafanya hvyo,
My take: WANANCHI KUWENI MAKIN PALE MTAKAPOLETEWA KATIBA PENDEKEZWA NI IP IL UPIGAPO KUJA UJUE UMEPGIA IP,
Nawasilisha:
hivi wananchi gani hao unaowaona wajinga kiasi hicho? Hakika mmeliwa na warioba wenu