Sober ili ufanikiwe ni lazima muhusika aridhie mwenyewe au aamue kuacha, huyo bado hajakubali kuacha, sober haiwezi kumsaidia kwani ni ninyi munamlazimisha kitu ambacho hajafanya maamuzi.
Ushauri wako ni nzuri lkn kama umemsoma wazazi wake walitangulia mapema, huyo kaka yake ndie alibeba nafasi ya baba yake, mwache amsaidie kiasi anavyoweza.
Mkuu, Vp unamsokota kijana! Kama wazazi wake walimpa jina la Mkojo na jina la babake anaitwa Siwangu, (anajuilikana kama Mkojo Siwangu) avumilie tu eti kwa sababu majina amepewa na wazazi wake? Amesema anataka kubadili majina na miongoni mwa sababu zake ni majina ya utani au ambayo si rasmi ya...
Hata Umakamo ni kudra ya Mungu, hakuna kinachokuwa bila utashi Wa Mungu! Na huo utais aliupata kwa utashi Mungu na hiyo awamu ijayo kama tutafika ataupata kwa utashi wa Mungu wala sio kwa utashi wako wa kumkataa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.